Ndugu michuzi sisi wadau wa japan tunaomba msaada wa kumpata ndugu japhet kaseba ambaye tunapata taarifa kuwa yupo japan kwa muda sasa na anatarajia kupanda ulingoni novemba 4.
Nia hasa ni kumpa support ktk mpambano huu mgumu ambao tunaambiwa anatarajia kupambana na bingwa wa kick boxer japan ni kazi ngumu iliyombele yake ktk kuitangaza jina la nchi yetu.
Tupo watanzania wengi ambao tunahitaji kwenda kumshangilia kwa nguvu ili aibuke mshindi kwa hiyo tunaomba taarifa zake ili tuweze kumsaport ndugu yetu kaseba.
Tunaomba watu wa karibu wa kaseba JUMA,GERVAS mtupe msaada wa haraka novemba 4 si mbali tafadhali michuzi usitutupe kapuni e-mail dmwelijp@hotmail.com
mob.080-3532-4043

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hi everybody!Japhet Kaseba phone number is +818066294691 please lets support him in any way even a minute phone call will help!!
    Go Japhet,we are behind you....We love you maan!!!!!!
    Go Japhet,Go Tanzania

    ReplyDelete
  2. Kaka darajani kesho utachomoka? Maana watoto wa Big Phiri mmmh si wakupimia utaumiaaa!
    Yote kwa yote Simba oyeeee 2-0 kesho kama kawa kandambili ni ya kuvaa miguuni tu kuogea,sio kwendea harusini

    ReplyDelete
  3. ndoa aina dosari nyimbo babu kubwa kuokoa ukahimu dar .nashangaa aina mshanglilio kuokoa taifa letu.simple jamaa anataka kuelekeza taifa kwmba ndona sio ukahaba na ninjia ya kuhokoa maisha ila mwa FAana sisitiza its ok kukaa kaaaba kwa as long ez u want sababu uhamini maisha ya ndoa na mademu .hell michu plz post this tellwhos ryt mwa FA or babayao inspector

    ReplyDelete
  4. Wabongo Japan mtawakaba Wafilipino tu (kodi hapa ni Big Phiri) lakini Wajepu wamestuka siku hizi. Walikuwa wanawadanganya kuwa wametoka Marekani hasa Wanaigeria.

    Hapa, kama sio Mtasha au huna kazi maalum inayoweza kumlipia gharama demu,kwa mfano begi la mkono la LV ni dola 500, utabaki na Wafilipino tu, demu waKijepu ana gharama sana, hata kama akipita miaka 40.

    Wafilipino hapa wamejaa, baa zote wao ni wahudumu wa kila aina ya starehe, na hawajui rangi wala nini, ukija kiholela utapelekwa mjini chapu chapu, jamaa wanajua sana pesa hawa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...