Home
Unlabelled
watani wa jadi walipomeremeta enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
simba
ReplyDeleteBalozi Mithupu! kipindi hicho Mungai alikuwa na wadhiwa gani?
ReplyDeleteWEE Michuzi acha mifiksi sio unasema Mangara ana kombe la ubingwa..Hilo sio kombe la ubingwa hilo ni Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati ambalo Yanga walilitwaa kule Zanzibar. Kushoto kwa Tambwe na Kulia kwa Mangara yupo Mwanangu mwenyewe Gaines Aines "Gibson" Sembuli aliyefariki tarehe 12/12/1977 . Kwenye ambao hamkumuona Sembuli..jamaa alikuwa na shape ya mpira ile mbaya..ebu mcheki tu hapo kwenye picha livyo handsome alikuwa na mwili umejengeka vyema kimichezo na alikuwa na mashuti usipime makipa walikuwa wanakwepa. Yaani yale mashuti ya Fumo Felician zidisha mara 10 ndio unapata Sembuli. Siku hiyo Sembuli ndo alikuwa kapten.
ReplyDeleteNajua wemgi mlikua hamjazaliwa nyie "Dot.com generation" ngoja niwamwagie data zaidi kabla ya mechi ya jumapili ambapo Mnyama keshaelekea Kibra.
Mechi hiyo ya 1975 ilichezwa siku ya jumatatu tofauti na mechi nyingine za watani wa jadi zinazochezwa J2, J1. Pia hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza watani wa jadi wanacheza mechi ya kimataifa nje ya Bongo. Pia katika mechi hiyo mchezaji ambaye hajapata kutokea kama yeye TZ ie Sunday Manara alikuwa akiwakoga Simba kama atakavyo yaani kuna wakati zikiwa zimebaki dk 10 alikuwa mara aukalie mpira mara anapandisha sox na simba wakitaka kuuchukua wanalambwa chenga..kwa hakika Sunday ilikuwa machine balaa!!
Ila naomba kuuliza je Mnyama kweli jumapili atatia timu?
Ni vijimambo tu, lakini vinauma sana!
its me MZEE WA LIVERPOOL, CHAMA KUBWA!!
Ratiba ya mechi za neshno zinapatikana wapi kwa ambao tunategemea kuja likizo dar?
ReplyDelete