mdau wa idhaa ya kiswahili ya sauti ya ujerumani aboubakar liongo (kulia) akiwa na dokta, masoud masoud a.k.a dj neagre jay (pili shoto) na nanihii jumapili iliyopita ndani ya msondo ngoma
ps: leo kikosi cha pili cha bwawa la maini kimefungwa 4-2 kwa taaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabu na totenham hotspurs. kama unabisha cheki hapa BBC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. hahaha daa kweli ww michuzi hatukuwezi,hehe bwana la maini imefugwa kwa tabu sana,hehe haya bwana umshinda ww,ila match of the day ni kuwa chelsea imetolewa nishai,

    ReplyDelete
  2. Haa haaahaa Mhe Balozi,

    Yaani wewe kweli mshabiki eti "KIKOSI CHA PILI" cha Bwawa la Maini...ndio wamefungwa??

    ReplyDelete
  3. Kwa taabu eeeeehhhh? Fraizer campbel huyo, kijana mdogo wa Man Utd. tehetehetehetehetehe

    ReplyDelete
  4. Masudi jua limemchoma kama pasi !

    ReplyDelete
  5. Kaka hata kama ni kikosi cha nne lakini bado inakuwa ni kibwawa cha maini kama mnavyojiita, hiyo ndio Tottenham kaka mwendo mdundo sasa hivi hao. Furaha iliyoje dogo kutoka Man U kawakilisha kama kawa.
    Mdau
    Ally Oda wa Old Trafford!

    ReplyDelete
  6. KUKU KUKU TUU JOGOO JINA MICHUZI

    Kwani kocha aliyekuwa uwanjani wa LOOSERPOOL ni wa kikosi cha pili au ni yule yule wa siku zote?Imefungwa Liverpool bwana acha kujifariji,au na Torres,Alonso,Babel,Lucas ni kikosi cha pili?basi mtakuwa mnatisha sana.
    Big Phill naona cku hizi mambo yanamgeukia kila akisema jambo la kujisifia,alianza kwa kusema watamaliza msimu bila kufungwa,na hawatafungwa nyumbani msimu mzima,wakachapwa na Liver,akasema watachukua vikombe 4 kama Liverpool,wote wameondolewa tayari momja hakuna,yamebaki ma3,mtaweza?kila mtu anayataka??
    Maajabu msimu huu Chelsea ana away record nzuri kuliko home....mhhh
    So sorry for Looserpool n Chelski fans.........!!!
    Kipigo ni Kipigo tuu hata uende wapi ni kichapo.

    ReplyDelete
  7. He!!! kweli hii blog inatuonyesha mambo, juzi nilimuona humuhumu PJ wa clouds FM kachooooka kinyama, sasa Masoud-masoud nae huyu hapa. Wanalogwa na nani hawa watu?

    ReplyDelete
  8. liongo umewiiiiva!!!!!

    ReplyDelete
  9. Namuona dj walongi time Niger Jay kwa chaaati hapo.

    ReplyDelete
  10. Jamani kila mtu ana maisha yake, so kama wewe una uwezo wa kutokupigwa na hilo jua Mshukuru Mungu, kila mtu na riziki yake.

    ReplyDelete
  11. Acheni kuponda maisha ya watu wasiofanya ufisadi.

    ReplyDelete
  12. mjomba liongo'naona umewiiva kweli!!!!mpaka mwalimu shariffu atakusahau!!!by mc pales.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...