mpuliza mdomo wa bata mkongwe nchini shaaban lendi (kati) pamoja na hassan tuba (kulia) ni mojawapo ya wanamuziki mahiri waliojiunga na safu ya msondo ngoma kuendeleza ubaba wa muziki walionao toka bendi hiyo kongwe ianze mwaka 1964

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kaka Issa. Tunapozungumzia HALL OF FAMERS ndio tunaowazungumzia hawa. Tunaposema Umakini wa kazi na kuwa na wito wa kufanya kazi na kupata kipato ndipo tumaanishapo watu kama hawa. Wengine (kina Mwinjuma,Toto Tungu, Sonyo, Banza, Choki na wengine) hawajifunzi tuuuuuu?
    Anyway, kazi njema

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...