Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. nenda huko gym mwanangu angalau uwe kama stars wengine. usipelekwe kwa mateja au ukaambiwa kula estroids wakati wa gym! Hongeraaaaaaaaaa....! tafuta kupiga katika majukwaa makubwa si kama mashuleni wafanyavyo wapuuzi wengine. nchi twaificha, kwani huwa ni kuwadharirisha mastar wa kibongo!

    ReplyDelete
  2. Ali rudi Bongo usisahau kuwa umfame wako ulianzia Bongo. Hapa ughaibuni kama unavyoona wengi ni walala hoi. Si umeona mzee. Wewe rudi ukajijenge, hii dola ya jasho haitakufikisha mbali. Wabongo ni malimbukeni hawatakwambia ukweli wa mambo yanayoendelea lakini nadhani umaeyaona mwenyewe.

    ReplyDelete
  3. Plz alikiba njoo australia tunakupenda wenzio

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...