mkurugenzi wa entertainment masters mama hellen sweya akiongea na waandishi wa habari muda mfupi uliopita katika ukumbi wa maisha club vip lounge kuhusu ujio wa Boyz 11 Men, Joe Thomas pamoja na wasanii wa ragga Tanya Stephan na Tante Monte na Devonte wataotumbuiza dar desemba 5 katika viwanjs vya leaders club.
wasanii hao maarufu wanatarajiwa kutua bongo desemba 3 na mama sweya ameahidi kufanya makubwa kwenye shoo hiyo ya likizo tyme 2008.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. kumbe boys to men bado ipo,bongo kwa masazo bwana

    ReplyDelete
  2. Vijana wako tyt ile mbaya,cha zaidi wajiandae sababu tuna hamu ya kuwaona. Hapa Tz nani atapana kwa staje? nashauri vijana wa THE VOICE wasiachwe,coz wako fit sana ktk rnb na acappella. kwa wanaowajua watakubaliana nami kuwa ni wakali.

    ReplyDelete
  3. Hapo Mama Umefunika Tanya Alongside Tanto .Big Tune Massive Boooom

    ReplyDelete
  4. Hivi Boyz kumi na moja ndio kundi gani?maana mimi ninachojua kunakundi linaitwa Boyz II Men,sasa hao Boyz 11 men wanatokea wapi? kuuliza si ujinga.

    ReplyDelete
  5. Asante sana, afadhali mtukumbushie enzi za boyz II Men. Dah sipati picha wakianza kushusha madude yao makali kama I'll make love to u, end of the road, water runs dry, girl on cover magazine etc!

    Tutakesha wallahi
    Ruge kazidi kutuzingua na wasanii wake wenye nyimbo mbili tu zilizohit.

    ReplyDelete
  6. Mbongo tunapenda zilipendwa sana au ni kwa vile cheap labor

    Rafiki yangu hana mbavu alivyotinga bongo wakati wa xmass na kusikia nyimbo za jim reeves kwenye bar

    ReplyDelete
  7. Tunashukuru sana mama Sweya,maana hao Primetime wamezidi kuwa wabaili badala ya kutuletea starehe za ukweli wanatuletea wasanii wasiwasi.Tutakula sana siku hiyo hapo Leaders

    ReplyDelete
  8. Wee anon uliyesema rafiki yako alicheka aliposikia nyimbo za jim reeves kwenye bar, wewe mwenyewe umedata vibaya sana, kwa hiyo ulifurahi alivyocheka? alicheka au alichekelea? usikute alifurahia mana ni nzuri mno, kwani wewe unazo zipi? wee kweli hamnazo!!! hebu tuondolee ushamba hapa, unabeba mabox basi unajiona bonge la born town!! hovyooooo

    ReplyDelete
  9. mbona kiingilio ni kidogo sana?ongezeni ili next time waje tena

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...