
wasanii hao maarufu wanatarajiwa kutua bongo desemba 3 na mama sweya ameahidi kufanya makubwa kwenye shoo hiyo ya likizo tyme 2008.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kumbe boys to men bado ipo,bongo kwa masazo bwana
ReplyDeleteVijana wako tyt ile mbaya,cha zaidi wajiandae sababu tuna hamu ya kuwaona. Hapa Tz nani atapana kwa staje? nashauri vijana wa THE VOICE wasiachwe,coz wako fit sana ktk rnb na acappella. kwa wanaowajua watakubaliana nami kuwa ni wakali.
ReplyDeleteHapo Mama Umefunika Tanya Alongside Tanto .Big Tune Massive Boooom
ReplyDeleteHivi Boyz kumi na moja ndio kundi gani?maana mimi ninachojua kunakundi linaitwa Boyz II Men,sasa hao Boyz 11 men wanatokea wapi? kuuliza si ujinga.
ReplyDeleteAsante sana, afadhali mtukumbushie enzi za boyz II Men. Dah sipati picha wakianza kushusha madude yao makali kama I'll make love to u, end of the road, water runs dry, girl on cover magazine etc!
ReplyDeleteTutakesha wallahi
Ruge kazidi kutuzingua na wasanii wake wenye nyimbo mbili tu zilizohit.
Mbongo tunapenda zilipendwa sana au ni kwa vile cheap labor
ReplyDeleteRafiki yangu hana mbavu alivyotinga bongo wakati wa xmass na kusikia nyimbo za jim reeves kwenye bar
Tunashukuru sana mama Sweya,maana hao Primetime wamezidi kuwa wabaili badala ya kutuletea starehe za ukweli wanatuletea wasanii wasiwasi.Tutakula sana siku hiyo hapo Leaders
ReplyDeleteWee anon uliyesema rafiki yako alicheka aliposikia nyimbo za jim reeves kwenye bar, wewe mwenyewe umedata vibaya sana, kwa hiyo ulifurahi alivyocheka? alicheka au alichekelea? usikute alifurahia mana ni nzuri mno, kwani wewe unazo zipi? wee kweli hamnazo!!! hebu tuondolee ushamba hapa, unabeba mabox basi unajiona bonge la born town!! hovyooooo
ReplyDeletembona kiingilio ni kidogo sana?ongezeni ili next time waje tena
ReplyDelete