MAWAZIRI WAWILI WA ZAMANI BASIL MRAMBA NA DANIEL YONA WAMEPANPANDISHWA KIZIMBANI MAHAMAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU KUJIBU MASHITAKA MBALIMBALI.
WATUHUMIWA HAO WAMEPEWA MASHARTI MAGUMU AMBAPO KILA MMOJA ANATAKIWA ATOE BILIONI 3.9 KESH, NA WADHAMINI WAWILI WA KUAMINIKA, PIA WASALIMISHE HATI ZAO ZA SAFARI NA HAWARUHUSIWI KUTOKA NJE YA DAR
HABARI ZAIDI BAADEN...
HABARI ZAIDI BAADEN...
Michuzi tumwagie hizo data fasta. Tunazisubiri kwa hamu sana!!!
ReplyDeleteMdau - Geneva.
Dah hii ni balaa!!!! Sijui itakuwa ni mambo ya EPA au mgodi wa Kiwira? Aise kaka Michu hebu tupe yatakayo jiri baadae...We cant wait!!!!!!
ReplyDelete........HAPA NDO UTAMU WA EPA UNAPOANZIA,INGAWA HATUJUI MWISHO WAKE......
ReplyDeleteMDAUZ
Alishinikizwa JK achukue hatua kali kwa mafisadi sasa tumpe support, tusimchafue na kumkatisha tamaa kwa mbinu mbalimbali kama migomo n.k. Tuache sheria ifuate mkondo wake kwa manufaa yetu sote.
ReplyDeleteMlala hoi,
Dar.
hawa wanawapandisha kizmbani hlafu unawasikia wametoka hawana hatia inakuaje lkn?waonyeshe mfano hawa wafilisiwe manaake hawasingiziwi bwana hawa
ReplyDeletec mchezo!!! Hadi vigogo ndani ya nyumba.............. Kweli JK kaamua.Ila tunaomba isiishie kisiasa kwani hii serikali ni ya kisanii, baada ya muda mnasahaulishwa!!
ReplyDeleteBabake,
ReplyDeleteHii breaking news imenikumbusha kibwagizo cha nyimbo ya Michael Jackson;
cause this is thriller, thriller night
And no ones gonna save you from the beast about strike
You know its thriller, thriller night
Youre fighting for your life inside a killer, thriller tonight
walinalyo. no one is above the law.
ReplyDeletekitaeleweka tu. enzi za uhujumu zinarudi tena
Nimefurahi sana kusikia mafisadi wanafikishwa mahakamani, kama hawa wajinga ambao wamekula pesa yetu sana........ na watoto wao wakitanua napisa za walala hoi.... na mpongeza sana JK na serikali yake. na amini hata yule swahiba yake pia hatakuwa miongoni mwa hao watakaofikishwa mahakamani.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHayo hayo masharti kwao ni cha mtoto. Tayari wapo nje kwa dhamana. Ogopa kabisa Fisadi, wana kula kuku mtaani.
Sisi tutaendelea kula majani lakini yeye hawezi kunyea Debe kwa style hii.
JAMANI HAWA WAMEFIKISHWA NA TAKUKURU KWA MATUMIZI MABAYA YA OFISI WAKATI WAKIWA MAWAZIRI.
ReplyDeleteMambo ndio haya sasa ila Mahakama ifanye kweli sio kiini macho
ReplyDeleteMimi situmi pongezi kwa JK wala TAKUKURU wala sijui DPP. Mpaka nitakaposikia wamehukumiwa KIFUNGO cha miaka kadhaa ndo nitatoa pongezi zangu. Kesi zitachukuwa muda mrefu weeee mwisho unaambiwa hawana hatia wanaachiwa. Au wanahukumiwa wanakata rufaa unaambiwa wameshinda rufaa... wale miaka kadhaa jela kama wezi wengine ambao wanafungwa bila hata uthibitisho kama hao mafisadi. Kuthibitisha kuwa ni wezi na mafisadi, utasikia wote wametoa hizo 3bl wapate dhamana. Sasa hizo 3bl kama si ufisadi watakuwa wamezitoa wapi???
ReplyDeleteHuu ni mchezo wa kuigiza maana wananchi waliliamika sana mbona Samaki wakubwa hawapo, ili wanyamaze ndo hao wamewekwa lakini itakavyoishia wote tupo na tutaona'WIZI MTUPU', SASA HAO NDIO WAKUSHINDWA KUTAJWA TANGU MWANZO 'WIZI MTUPU'
ReplyDeleteLoh!! Aibu kubwa sana!! Mafisadi hawa tulikuwa hatuamiini kama wanaweza kukamatwa!! Hata wao walikuwa wanajiona miungu wadogo!! Dawa yao ni jela na kufilisiwa tu! Shame on them, na mafisadi wenzao!!! Big Ups JK majeshi mpakani vita tu na mafisadi usirudi nyuma. Mn
ReplyDeleteau watakufa kama Balali na watanzania hatutapata muda wa kwenda kuwaona kwenye mazishi...SERIKALI YETU NAIPENDA SANA KWA KUKAVA UP ISSUES those are big crooks dont play with them wako mahakamani wanachekelea tu...this EPA thing is a JOKE bado hatujaona majina tunayoyataka unafiki mtupu
ReplyDeleteMh JK, kwa hili wananchi wanakupongeza sana na wapo tayari kukupa kura zooote, lakini kuna jambo ambalo naona hujatambua nalo ni kuwa hawa watu ulio waweka kwenye mtego huo wanapesa zetu na watazitumie vizuri tu kutokomeza mjadala mzima, lingine yaliyo mtokea rais wa zamani wa zambia yanaweza kukujilia kwani hawa watu ni marafiki zako wazuri na ndiyo walio kuweka madarakani kwa pesa hizo, naomba mniletee kagoda na wapi aliingiziwa pesa hizo, benki ya citibank walikata kupokea lakini wezetu ambao ni benk ya tanzania walipokea pesa za kagoda.
ReplyDeletechunguzeni
sio hao tu hata maraisi na mawaziri nawabunge wastaafu wa pandezote pimbi na wao pia wapandishwe kizimbani maana kabla ya kupata miwadhifa hiyo walikua na nyumba labda 2 au 3 lakini baada ya kustaafu wana mijumba msasani ni kwao mbezi bichi ni kwao ostabei na kwengineo sasa waulizwe wamezipatawapi mihela za kujengea mijumba hio wasionekanewale wa epa tu nao wamo
ReplyDeleteYani hapa Tz ni wizi mtupu kama masanja anavyosema. Hapa simpi mtu pongezi mpaka nione mwisho manake serikali yetu kwa viini macho ndo yenyewe, na ukitaka kujua ni mafisisadi kweli cheki bil 3.9 wanazipata on the spot kama vile sh. 100, yani inatia machungu we acha tu, halafu eti hakuna hela za kulipia wanavyuo kwa 100% kumbe hela wanazo wenyewe. Kwani hizo bil karibu 8 walizotoa dhamana zinatosha wanafunzi wangapi? Mie nina ndugu yangu anasoma shule moja tena eti inaitwa special school ya wasichana (kilakala), wamekatiwa maji mwezi sasa, hawana chakula any time wanaambiwa wanaweza kurudi makwao, walikatiwa umeme ukarudishwa na sio mara ya kwanza kupata matatizo kama hayo then ukija kuangalia hela wanazo wachache kama hao inauma sana. Hapa mpaka kieleweke wasituzuge."WIZI MTUPUUU"
ReplyDeleteKUMBE MAHAKAMA INAJUA KWAMBA UFISADI UPO SERIKALINI> KUMUAMURU KIONGOZI WA UMMA ATOE DHAMANA YA MABILIONI NA YEYE KAMA ALIKUWA KIONGOZI MUADILIFU HIZO PESA AU HIYO MALI ATAITOA WAPI ???? INA MAANA TUNAKUBALI KUWA WANA HUO UWEZO SASA MIMI NAONA KAMA WATAWEZA KUMUDU HAYA MASHARTI YA PESA YA DHAMANA TUU THEN HII KESI IMEKWISHA HAPO NA WAKO GUILTY !!! MANA KWA KWELI HAINIINGII AKILINI HIYO PESA WAO KAMA WATUMISHI WA UMMA WA MUDA MREEEEEEEFU WAMEITOA WAPI NA TUNAJUA MISHAHARA YAO KIASI GANI ....... WANGEKUWA WAFANYABIASHAR KAMA WALE MAFISADI WA EPA HAPO SAWA, SASA KWA MUUNDO WETU WA SERIKALI MAWAZIRI WA ZAMANI MMETOA WAPI HIYO PESA AU HIZO MALI ZA KIASI HICHO ??
ReplyDeleteNI KWELI. SOON UTASIKIA WANAUGUA VISUKARI WAMEPELEKWA ULAYA KUTIBIWA, MARA WAMEFIA ULAYA MAZISHI HUKOHUKO!!
ReplyDeletekifo km cha balali maiti hatuioni wala nini!!! MAFIA KABISA HII
ReplyDeletekesi imeisha hawana hatia,wamekata rufaa wamewin,kasusura,no segerea,mahakimu mtego vijisenti,best wa presidaa,mkwe au mtarajiwa,tutaiumbua ccm,tutawalipa ata km majina yenu yamechafuliwa bt akaunti mabilioni nk nk
POA TU
I propose something, to get rid of RUSHWA na UBADHILIFU WA MALI YA UMMA, government should set this as holywood story, find a good documentary production team, and make it a priority by showing to our young man and woman in secondary schools across the country as a lesson and as a part of curricula.
ReplyDeleteIf you need to work for your Government you need to save it HONORABLY, and not by squandering our wealth, profiteering, privilege and illegal accumulation of wealth.
THAT WILL BE A FANTASTIC AND GOOD STORY TO TELL.
What do you think WADAU!
Thats the only way SHAMING and DAMNING all those GOVERNMENT FRAUDSTERS!
You better think twice before TAKING OFFICE. How about that ?
By Mchangiaji.
JAMANI EEEH WADAU NAOMBA KUULIZA YULE MSUKUMA KIONGOZI FISADI ALIEKUTWA NA AKAUNTI YA MABILIONI KWA POUND KWENYE KISIWA CHA UINGEREZA SIJUI JINA LAKE NANI YULE TENA HIVI KAISHIA WAPI ???? NA ZILE PESA ZIMEISHIA WAPI ???? MNAYAONA HAYA ??????
ReplyDeletewarombo tushapitisha daftari mzee lazima atoke, tukishindwa tutaweka ATR bond. na wote mnao furahia ole wenu, na mtakufa na umaskini bila kupenda! hivi mnajua pesa ninyi??!
ReplyDelete