After public smoking was banned in Kenya , each town clerk was assignedthe duty of posting notices in Kiswahili to that effect.See how different councils posted this advert:
Other councils are still working on theirs.......
The Coast Town Clerk wrote:Uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.Watakaopatikana wakikiuka
amri hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.
amri hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.
The Kiambu Town Clerk:Wanyuanji wa thigara washunge sana . Unyuanji wa thigara bere ya watu hata huko ije umefigwa marufuku na kaju kuanjia reo.
The Machakos Town Clerk:Wavulutanji tusikala wasunge sana . Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na kanzu ya Masaku itawasukulia atua kuvwa sana .
The Kisumu Town Clerk:Atenson Plis!!! Mifuto sgara adharani sasa omepigwa marofuku. Okipaatwa ibiro yie Kodiaga! Apana furuta Plis!!
Wajir Town Clerk:Habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuk na sisi tagaamata mutubhahala yaghe kiburuta.
Kericho Town Clerk:Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa. Haguna!! Charipu wee taona!!!
Ahsante mdau kwa kuletea hii. Kwa kweli nimecheka sana hata wenzangu ofisini wakaanza kuniuliza nacheka nini. Lakini hao watani zetu siku hizi wanajitahidi kuongea Kiswahili kizuri ila dialect ina-differ kwa kila kabila hata hapa kwetu. Sikiliza kwenye vyombo vya habari (radio na TV) vya Kenya utabaini kuwa Kiswahili chao ni kizuri sana.
ReplyDeleteebana kiswahili cha hawa jamaa ovyo sana .Wahindi na wachina wanaongea kiinglishi kizuri kuliko wakenya kwa kiswahili
ReplyDeleteLmao!!!!!!!!!
ReplyDeleteHii ya Leo Kali Wazee!Nimecheka hadi nikashikwa na kichomi!Katika zote ile ya Kericho na Wajir Town zimeniacha hoi ile mbaya!Hii inanikumbusha tukio moja siku za nyuma jamaa yetu mmoja wa kule Kisumu alimkamata mbaya wake,basi kabla hajaanza kumshughulikia akaanza kwa kumtisha kwa maneno:"Kama wewe hapana Kojoa mimi,basi leo wewe Takojoa mimi mutu gani",cheka unenepe.......
ReplyDelete