DJ maarufu, mwenye mbwembwe kwenye chapati na anaejali kazi yake, Bonny Luv ametua leo Washington Dc kwa vekesheni fupi ya kikazi akilenga kumalizia kiu ya washabiki wake.
Akiongea na blog hii ya jamii kwa njia ya simu mara tu alipowasili Dulles Airport akitokea JFK, alisema kwamba November 22 nitazungusha chapati pale Gallery,Silver Spring, kwa hiyo washabiki wake wa washington Metro Area na vitongoji vyake mnakaribishwa sana.
Amesema pamoja na chapati za oldskjul pia kaja na kago ya ngoma za bongo flava zinazotamba hivi sasa.
job tu yuuu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. DJ ndo yupi katika wawili hao?

    ReplyDelete
  2. Mkuu wa wa wilaya ya nanihii nakubali Madj hao walikuwa moto kweli lakini sasa wawapishe Madj vijana kama Dj K na wengineo na kaka Luka aendelee kuwafadhili vijana kupata magari ya bure pale DC. Bon Luv atoe ushauri wa bure kwa madj vijana wa KITZ popote walipo.

    ReplyDelete
  3. sasa Bonny luv kati ya hao wawili ni yupi jamani maana wengine hatumfahamu kwa sura.

    ReplyDelete
  4. Braza Michu, vekesheni ni mapumziko, sasa umesema ametua washington kwa vekesheni fupi ya kikazi, iweje?

    ReplyDelete
  5. blog ya haki ngowi imepatwa na nini? tafadhali tujulisheni.

    ReplyDelete
  6. Hivi siku hizi Bonilover anapiga wapi chapati bongo? Mara ya mwisho nilipita latavena nikaambia hapigi tena

    ReplyDelete
  7. Dj Boniluv ni huyo mwenye tshirt ya kijivu

    Huyo mwenye shati ya mistari ni Dj Luka

    ReplyDelete
  8. Jamani umeshakuwa wazee hayo mambo ya u-dj wachieni vijana wadogo sasa,nyie mbaki kuwa kama washauri tu.

    ReplyDelete
  9. Wewe mdau unaeuliza nani ni nani, ni kwamba huyo mwenye bling ya jino ndo boni love aka mapenzi aka boni kilosa na huyo mwingine mwenye macho kumchuzi mkono ku nyama ndo dj luka wa safari dc.

    ReplyDelete
  10. Huyu dj luka tangu ameanza udj amefika wapi kawa muongo muongo tu

    ReplyDelete
  11. we kaka wa hapo juu nakukubalia na mawazo yako awaachia watoto wadogo kina dj k wanaoibuka yeye akae pembeni

    ReplyDelete
  12. Afadhali dj luv anaheshima yake

    ReplyDelete
  13. Mendeeeeeeee hata hatuagani kaka?? peace 2 u man kila la kheri

    ReplyDelete
  14. Wamechoka hawa wapumzike. Luka do es'nt know howa to spin at all - LMAO

    ReplyDelete
  15. utamu vp??

    ReplyDelete
  16. watoto wa mbwa wamemnunua Bonny lov thx gvg party Houston 4 2days?

    ReplyDelete
  17. mweeee si alikua huku juzi juzi?

    Uchumi mgumu ndugu yangu. Enjoy your vacation lakini ungekaa kaa bongo mpaka watu wakusahau...

    mateso ya Ohio watu bado wana hasira kibao ile Old skull bash!!!!!!!!!!????????

    ReplyDelete
  18. welcome back boni luv,hope to see you on that day.

    ReplyDelete
  19. Wewe Ph hapo juu umenifurahisha sana, doh bling ya jino, hii kali, LMAOOOOOO!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...