(YESU NI YEYE YULE, JANA, LEO NA HATA MILELE)
Jumapili 30 November at 14.30

Tunafurahi kuwakaribisha kwenye Ibada ya Kiswahili, itakayoongozwa na Mchungaji Tumaini Kallaghe, kutoka Ibada ya Kiswahili London akishirikiana na Ev. Felix Kallaghe na Moses Shonga.

Njoo tumwabudu Mungu katika Roho na Kweli, mapambio na nyimbo mbali mbali. Wagonjwa na wenye shida mbali mbali wataombewa.

Baada ya ibada tutashirikiana kwa vinywaji na vitafunio.
Watu wa madhehebu yote mnakaribishwa.

Hexham Community Centre
1a Bamburg Close, Whitley
Reading, RG2 7UD

www.stanneslutheranchurch.org
020 7606 4986/07983087998

For information:
mchungaji@stanneslutheranchurch.org

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tunashurukuru kwa mwaliko ila saa 14.30 naona haielewiki vizuri, naomba ufafanuzi

    ReplyDelete
  2. jamani hujui kusoma military au army time au umekosa cha kusema? Ukisafiri na ndege international utaachwa njani mweeeeee.

    ReplyDelete
  3. bwana mheshimiwa anon wa 9:12 14.30 ni sawa na saa nane za mchana na ni muda wa masaa mengine tunasema 2pm nafikiri umeelewa manake mie mwalimu wa ngumbalu na najua kuuliza si ujinga ila unataka kupata ujanja nitakupa ujanja ili usiulize tena siku zijazo ukipata time yeyote yenye masaa 24 unatoa 12 utapata time unazojua kirahisi kwa mfano 20 hrs toa 12 utapata 8pm au 21hrs toa 12 utapa 9pm nimategemeo yangu utasema asante kama hujui kuzigeuza kiswahili sema tutakusaidia pia tupo hapa kwaajili ya watu kama nyie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...