Home
Unlabelled
obama wetu ndani ya nyumba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mhh,,, na wewe! hiyo fulani ulipewa na mganga wako wa kienyeji nini!! Kila kona unayo na sijui kama huwa unafua! Lohh
ReplyDeleteDaaah,kumbe huyo ndo PJ, wa clouds FM? Afu jamaa anaonekana chapombe kishenzi. Ashaanza kujiita Obama kwi-kwi-kwi
ReplyDeleteOyaaa Zamunda Njoo Utusaidie Kulea Watoto Zako Ulioacha Sweden
ReplyDeletezat is a new fulanazzzzz!!!!!
ReplyDeleteChapombe nini anaonekana "TEJA"!
ReplyDeleteOBAMA ATAMBE
ReplyDeleteNaomba kuuliza huyu Zamunda ndio yule aliyekuaga na DCM_daladala Songea, Lililokuwa nilafanya safari kati ya Songea Mbinga??? miaka ya 94-95??
ReplyDeleteEbwana huyo ndio PJ kumbe,dah jamaa anaboa ile kinyama.Kipindi kimekuwa hakina mvuto tena maana jamaa anajifanya kujua mambo kibao wakati ni Zero,Gerald kila wakati anamshushua,halafu wameleta na binti mwingine Barbra ndio awe kama Fina vile.Yaani sio siri,kutokuwepo kwa Masoud and Fina kwenye kile kipindi ni bonge la pengo.
ReplyDeleteHabari za Saa hizi Michuzi, huyo wa kwanza ni Nyauba au John Mwansasu sio Bwalya kama ulivyoandika.
ReplyDeletee bana paul james mbona umechooka babu........ umechonga sana sikuamini nilivyokuona obama... nakukumbuka enzi za azania
ReplyDeletePAUL JAMES WA FLORINA KAMBIRA OHIO CLEVELAND
ReplyDeletekwa jide wapi nyumbani kwake?
ReplyDeletePAUL JAMES SIMU YAKO NGAPI TUKUPIGIE MAANA YOU LOOK LIKE YOUR GOOD IN BED
ReplyDelete