Hongereni kaka Maggid Mjengwa na Alex Mayunga kwa kuonesha ujasiriamali kwa vitendo katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa raisi Marekani.
Mmeweza kutumia nafasi na wasaa ipasavyo!
Waweza kutizama CNN Video hapa:
Mdau Subi
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mweee Obama atawatajirisha wengi ...kama Mjengwa ameuza vitabu more than 50,000 for a $1.50 a piece mweeeee sasa hivi si kashaukata ....Obama ushindi wake unanyanyua wengi bwana
ReplyDelete