naelekea kupata sangara na mapanki rock city kwa muda. samahani snepu ina kwikwi
hotel deluxe a.k.a kawekamo bado ipo inandunda rock city
video za kwaya dili siku hizi. mdau anajiandaa kushuti moja leo jioni
vikwangua anga vya maana vinamea kila kona rock city. hii ni nssf tower
ppf plaza ndani ya rock city. rwanda na uhabeshi hawaoni ndani hapa...
barabara ya kwenda na kutoka eapoti hapa rock city siku hizi tambarare...
hata kwa tz 11 haina shida kwa jinsi mkeka toka eapoti kwenda taun rock city ulivyo siku hizi...







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Naam...hapo bora kuliko San Francisco...na kweli MZ / TZ tambarare, Mungu ibariki TZ...hata kama watoro wabeba maboksi wanaikosoa nchi yangu!

    ReplyDelete
  2. badala ya kuweka sign za barabarani wamejaza matangazo ya simu, sasa tutaendelea lini wakati tunahitaji kuzijua sheria za barabara?

    ReplyDelete
  3. Na utakosa sana visa kaka anon wa kwanza hapo juu,najua visigino vya viatu vitakuwa vimesagika soli upande mmoja,mbu wako inzi wako.. lazima malaria na typhod viwe vinakuhusu tu wewe..na samaki wa mafungu gengeni wale wenye chachandu (pilipili ya limao)nyiiiingi ukila inawasha tu ukiwashwa ndio unakuja hapa kuwapaka hao unaowaita wewe watoro kumbe mtoro ni wewe ulietoroka raha ukazikimbilia shida zikakugeuza ndio rfk yake kipenzi sasa umezizoea kiasi unazipigia debe zipate rfk wengine wapya kama wewe vile

    ReplyDelete
  4. Wabongo bwaba. Yaani kama toto tundu wote. Check annon number mbili juu hapo. badala ya kusifia kuwa kweli mwanza bomba anawezka vizingiti! Bongo fujo tupu.

    ReplyDelete
  5. we Anon 12:35am u made my day!

    ReplyDelete
  6. Mheshimiwa MiGRAVY umeniacha hoi sina mbavu!

    ReplyDelete
  7. Ha!ha!ha!MBalozi umenikumbusha Boogie Disco hapo Deluxe Hotel mwanzoni mwa miaka ya 90, nilikuwa sikosi kila jpili mchana. Kwa kweli mwanza inabadilika sana, si ajabu kusikia ndio mji unaokua kwa kasi east and central afrika

    ReplyDelete
  8. kwa kweli naungana na mtoa comment hapo juu. Matangazo ya biashara yamezidi hasa hasa za simu barabarani kuliko sign za bara bara.ndio maana ajari kibao barabara aina sign yoyote .speed limit, zebra cross wamakaria tu kutangaza biashara.

    ReplyDelete
  9. COOl COOl COOL!! I like this God bless the one who fight for it to make it done.

    ReplyDelete
  10. Bro. Michu usisahau kupata SAMAKI CHOMA mwanza institute pale wanakuwa fresh na bei poa, vijana social, ua kurumba Lakairo au vizani kwa waneneee huko kama pochi inakubali nenda mwanawane, utafurahi mtoto wetu, kitu roho inapenda.

    ReplyDelete
  11. Ah kwani sikuhizi kuna mushkeli abui kila kona mataa utapenda, yaani pale jiji siku hizi kukabana hamna tena, mambo hazarani tuu tangu machemba road mviringo, balewa road mpaka isamilo airport road panameremeta khuyui, hehehehe hivyo ndovyo tutakavyo sio kiza totoro.

    ReplyDelete
  12. yan mwanza apa naskia ni uzunguni mboni maendeleo???
    kulikua vumbi,mabonde balaa.now swaaafi km nini!!!
    sasa michu ndo nini unajipiga picha alone??airhostess hawakuwepo kukupiga pic???dah teh teh teh,,cheki nyuma mhindi mimachona uyo wa pemben waogopa pic sijui ni wale washtakiwa wa EPA nao???hahaaa
    umefikia wapi???apo???
    sasa izo gorofa ndo pekee mwz nzima

    ReplyDelete
  13. we Michuzi na wewe kafisadi! kila siku safari! haukai ofisini, itabidi tukuchunguze.

    ohoooooo! usihofu just jocking!

    ReplyDelete
  14. Hivi kuna mambo ya soli kuisha?? Duh, sijaenda bongo siku nyingi sana

    ReplyDelete
  15. Mnaolalamika kuhusu ukosekanaji wa alama za barabarani,hebu tuambieni mlitegemea kuona alama gani zaidi ya hizo chache zinazoonekana pichani?
    By the way,hayo matangazo yote yanalipiwa na ndizo pesa zinazotumika ku-"maintain" hizo taa.
    NOW YOU KNOW!!!

    ReplyDelete
  16. halafu mbona mnaokaa huko nje ya tanzania mna ashuo sana! nyie wakimbizi wa kiuchumi mna tofauti gani na sisi ambao tumesettle in tz.

    mi nimeshaona watu wangapi wana toka marekani / uk, wana shangaa shangaa na kutamani kurudi bongo. i quote " bongo siku hizi kuna kila kitu"

    acheni kujishaua, u r just cheap labourers for the wazungu.

    why don't u come to bongo and we'll see how long you are going to last. kama wengine hamtaishia kuolewa tu... si lolote si chochote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...