HEY MICHUZI,

MI SALEH SHUKRAN! MDAU WA DALLAS TX NIKO KWENYE JFK MEMORY, ALIPIGWA RISASI HAPA! SIKU YA NOV 22 1963, ITS BEEN 45 YEARS AGO WHEN HE WAS ASSASINATED!

RAFIKI ZANGU WOTE WA DOM & KAMPALA AMBAO TUMEPOTEANA TUWASILIANE! KWA EMAIL HII

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. hiki kizungu nacho "it's been 45yrs ago" mmh

    ReplyDelete
  2. jamani tutumie lugha moja tu kutuma ujumbe kama tukianza kutumia kiswaenglish inakuwa ni vigumu sisi wengine kuelewa. Hata kama umeshindwa kutafsiri kiingereza basi acha kuandika. hivi kama mtu amepigwa na radi sehemu halafu miaka arobaini na tano iliyopita na wewe unaenda kusimama hapohapo, hii imekaaje?

    ReplyDelete
  3. Yakhe mbona uko peke yako,yaani siwaoni binadamu au magari...au umepotea njia! jitahadhari usijikute uko mbaroni manaake mswahili mzururaji na 'accent'ya kinyaturu kinaweza kuleta mushikil babu!!!sasa maboksi yako wapi?

    ReplyDelete
  4. wee ndo kizungu kinakubana, hapo msela kamanisha It has been 45yrs, kwa uelewa wako wa kujiona profesa wa kingereza unadhani kuwa kamanisha It is been!
    shauri yako, meli imeshatia nanga mwenzio kashuka bandarini. jidai kuwa kamusi ya blog ya michuzi, kamusi yenyewe kihiyo!

    ReplyDelete
  5. Kweli tumefika sehemu ambayo hatuwezi vyote: Kiswahili na Kiingereza. Tutaishia kuchanganya na kupata vitu km vile: CREOLE, PIDGIN

    ReplyDelete
  6. IT HAS BEEN 45 YEARS WHEN SINCE HE WAS ASSASINATED.

    Mzushi/Mjuaji

    ReplyDelete
  7. SI NDO HAPO, IT HAS BEEN 45 YEARS NOT IT HAS BEEN 45 YEARS AGO...REDUCE THE WORDING....GEEH!

    ReplyDelete
  8. Wabongo bwana kwa kujitia kukosoa hamjambo, sasa ni nini hujaelewa hapo? si umepata ujumbe lakini? Ok tuseme kakosea mbona sasa umeishia kukosoa tu bula ya kuandika sentensi iliyosahihi?

    ReplyDelete
  9. mapozi mengi kumbe kizungu hukijui,si ungeandika kiswahili tu babaaa!!!!
    "ITS BEEN" ndo kingereza gani sasa!!hata mwanangu wa nursery anakushinda!!!siku nyingine andika IT HAS BEEN, sawa mdau wa dalas!!!
    picha kubwa yai hakuna mdomoni,ovyo!!!

    ReplyDelete
  10. NDIO AGWE ULIMSWANO DUHU!
    MDAU
    KISIJU PWANI

    ReplyDelete
  11. Too pessimistic u guys..mbona dogo kaongea vizuri tu haoneshi nia mbaya wala nini afu mnamuwakia? mbona mnakua haters kwa vitu hata visivyo na msingi, au ni kwa sababu ni kiingereza? mbona viswahili vingi huwa vinakosewa humu kwa almost the same magnitude na hatusemi..sio issue,nadhani wanaokufahamu we mdau wa Dallas watawasiliana nawe,ndo cha msingi..

    ReplyDelete
  12. hao wananyungukwa na roho zao kwavile hawajatia mguu kiwanja kma hicho kwahio simnajua tena wabongo vijilasssssss

    ReplyDelete
  13. jamani hee, huku ukerewe ni kawaida sana kuulizwa na mzungu "how's you", au kusikia neno kama "is you crazy" au "I can't guarantee nothing". Kigrama grama "phrases" zote hizi ziko wrong, lakini ndo wanavyoongea wao wenyewe. Kwani huko bongo kwenu mnazungumza kiswahili fasaha? Achaneni na mjomba huyo ajisikie na matumizi yake ya lugha

    ReplyDelete
  14. IT HAS BEEN 45 YEARS NOT IT HAS BEEN 45 YEARS AGO

    It has been 45 years sio It has been 45 years ago sawa dogo?
    Kama ulibahatika kusoma Communication Skills kuna topic inaitwa 'Redundancy' kama bado ujachelewa!

    Londoner
    Matembezini Bongoland

    ReplyDelete
  15. tutajuajeeeee??kabo cha kuonyesha memorial city wapi???
    izi picha???

    ReplyDelete
  16. babu umechoka aa alafu unaonekana walongiiiiii.... au mabox yamekuchosha naona umevaa ile inaitwa kiatu yenye chuma mbele, steel toe kama yangu ya kubebea box.

    ReplyDelete
  17. wajameni ukiwa mtoni lazima ubebe boksi?mhh.
    wappi kiware!

    ReplyDelete
  18. MSILETE KIINGIREZA CHA KUFUNDISHIWA KWENYE MBUYU MABIBO PRMARY SCHOOL, HUYU JAMAA HAJAKOSEI CHOCHOTE KWENYE ENGLISH YAKE, LABDO KAKOSEA KUTOWEKA KAKOMA KA HAPO JUU TU, ITS HAS BEEN 45 YEARS AGO BADALA YA IT'S BEEN 45 YEARS AGO, HII IT'S INAMAANA NYINGI MOJAWAPO IKIWA NI MKATO WA NENO IT HAS NA INGINE IKIMAANISHA POSSESION KWA MFANO IT'S YOURS KWA KIREFU IT IS YOURS. HANA KOSA LOLOTE HAPO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...