
Liverpool were denied a penalty early on despite Luis Perea appearing to foul Daniel Agger, and instead they went behind when Rodriguez volleyed in.
The Reds felt they were again denied a spot-kick when Perea seemed to handle.
For more check out BBC by clicking here
Aisee balozi wamarekani wenu kiboko; hadi marefa wa Champions League mmewanunua!! Si mchezo. Mbeleko huu hata wa Athumani Kazi afadhali. Extra time kibao halafu mnazawadiwa tuta dk 94!
ReplyDeleteMbelekoz, kama kawaida yenu kubebwa na marefa
ReplyDeletemichuzi, umetuchosha na Liverpool yako.
ReplyDeleteTutaach kuipitia hii blog yako maana naona unap[endelea timu moja.
Ifanye basi iwe blog ya Liverpool ili tujue basi.
Mdau UK
Mmepewa zawadi.
ReplyDeletevijana goli lenyewe mmepewa,kweli uzalendo UK hauishi yaani dkk ya 95+
ReplyDeleteMichuzi samahani sana - that was not a penalty!
ReplyDeleteMmebebwa!
bwawa la maini weeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteunatukera michu kbs,,toa huu upupu
SAMAHANI SANA MICHUZI,ILA HIYO HABARI UME COPY PASTE
ReplyDeleteJapo ni mdau wa Bwawa la Maini lakini hii mechi tulinufaika na mbeleko kama Yanga vile!
ReplyDelete