


link ya site yetu kwa picha zaidi ni:
http://www.nifahamishe.com/photos_news.aspx?topic=41
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa nyie mabeba boksi na wasafisha vyoo kule ughaibuni msidhani hivyo ni vyakujisaidia...bali ni vya mapendezo tuu...
ReplyDeletekaka michu
ReplyDeletehilo tangazo lao la kuweka hela kwenye vioo waambie waje walitangaze na bongo ndio watajua kama hivyo vioo havivunjiki.
anon wa kwanza bongo kwani vyoo hamvisafishi nyie?manaake kama una choo chako kusafisha muhimu mliwa na mbu mkubwa weee unashea pleti moja na inzi wale wakubwa kama mende kisha unajishaua hapa bwana,acha domo unapokula msosi wako wewe naamini kabisa inzi wanadandadanda sasa una ujanja gani kama ww?jioni mbu anakusubiri
ReplyDeleteAnon wa tatu hapo juu naona umekasirishwa sana kwa kudhalilishiwa kazi yako....sawasawa ulivyomkoromea mbaya wako......ashindwe na kulegea.........Lakini jamani hizo kazi nazo mmh....anyway bora mkono unaenda kinywani.
ReplyDeleteKah! Jaribu kuweka bongo hiyo! Watabeba kila kitu hapo, mpaka nguzo za hiyho glass! Watu walivunja ATM kule Muhimbili na kujitwisha sembuse hiyo.
ReplyDeleteBongo everything imppossible is possible bwana!
Hamna lolote wabeba boxi mmechoka tu bongo tambarare
ReplyDeleteMi nashangaa watu wanao dharua walikotoka. Mi naliwa na mbu kila siku na mwili wangu umesha kuwa immune za kutosha kujilinda na hao mbu. Poa home is home. Nyie acheni ulimbukeni, hamna lolote zaidi ya kuumia roho kila siu na ma-window shopping yenu. Mna-wa-frustrate tu watoto mlio zaa uko. Standard za maisha haziwafikii wazungu. Si heri mimi wangu wanakula kila kitu hapa bongo?? na wamesha wazoea hao mbu. Bongo tambarare bwanaaa.
ReplyDeleteMkija likizo hamuiishi kutuazima magari yetu, oho , naomba gari, ovyooooooooo!!! Ulaya zamani bwana
Anony wa saba nakuunga mkono kabisa
ReplyDeleteKuna wabongo kibao wanageuka machizi ulaya kwa stress walizonazo kutokana na kazi chafu wanazofanya
Asikwambie mtu bongo ingawa tuna matatizo lakini wananchi wako happy sana kuliko wanaoishi huko ulaya
Kuna watu nawashangaa sana ati gari watoto wanakula. Hivi gari na chakula ndio unaona ni maisha?
ReplyDeleteAti ulaya zamani bwana acheni kuumia roho. Tanzania nchi yangu naipenda sana lakini huwei linganisha maisha ya mtoto aliyezaliwa hapa na hao na kusoma public schools. Hao wanaoenda st st school ndio wanaweza kujilinganisha na niwangapi?
Mnasema watu wanaosha vyoo nyie hamuishi au kwa vile choo bongo ni jembe mkononi.
Watu wanakua na chuki wakionyeshwa the otherside of the world.....Kila siku nitumie hiki nitumie kile nitafutie shule nikaribishe huko lakini mkika kwa pc hamuishi kukandia
Virohoo vya korosho lakini yule mwimbaji hakukosea alivyosema finally uzeeni
Siye tunajenga bongo na hela za halali nyie ni wangapi wanajenga kwa hela ya mshahara yao? Ukijenga kwa mshahara wako nyumba inachukua miaka 20 kuisha.
HIYO BEMBEA WALIFANYA HEALTH AND SAFETY ASSESMENT KWELI HIYO MIGUU SI INAWEZA KUKWANGULIWA NA BUS LIKIPITA AKIBEMBEA KWA NGUVU HADI BARABARANI HASA WATOTO, NAONA WANATAKA KULIPA FIDIA ZA BURE HAPO.
ReplyDelete