kituo cha basi kinachotangaza kampuni ya 3M ambao wameweka fedha za kutosha ndani ya kioo wakiamini vioo vyao havivunjiki.
kituo kinachotangaza kazi za kampuni ya IKEA

kituo cha basi chenye bembea ndani ya London

link ya site yetu kwa picha zaidi ni:
http://www.nifahamishe.com/photos_news.aspx?topic=41







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Sasa nyie mabeba boksi na wasafisha vyoo kule ughaibuni msidhani hivyo ni vyakujisaidia...bali ni vya mapendezo tuu...

    ReplyDelete
  2. kaka michu
    hilo tangazo lao la kuweka hela kwenye vioo waambie waje walitangaze na bongo ndio watajua kama hivyo vioo havivunjiki.

    ReplyDelete
  3. anon wa kwanza bongo kwani vyoo hamvisafishi nyie?manaake kama una choo chako kusafisha muhimu mliwa na mbu mkubwa weee unashea pleti moja na inzi wale wakubwa kama mende kisha unajishaua hapa bwana,acha domo unapokula msosi wako wewe naamini kabisa inzi wanadandadanda sasa una ujanja gani kama ww?jioni mbu anakusubiri

    ReplyDelete
  4. Anon wa tatu hapo juu naona umekasirishwa sana kwa kudhalilishiwa kazi yako....sawasawa ulivyomkoromea mbaya wako......ashindwe na kulegea.........Lakini jamani hizo kazi nazo mmh....anyway bora mkono unaenda kinywani.

    ReplyDelete
  5. Kah! Jaribu kuweka bongo hiyo! Watabeba kila kitu hapo, mpaka nguzo za hiyho glass! Watu walivunja ATM kule Muhimbili na kujitwisha sembuse hiyo.

    Bongo everything imppossible is possible bwana!

    ReplyDelete
  6. Hamna lolote wabeba boxi mmechoka tu bongo tambarare

    ReplyDelete
  7. Mi nashangaa watu wanao dharua walikotoka. Mi naliwa na mbu kila siku na mwili wangu umesha kuwa immune za kutosha kujilinda na hao mbu. Poa home is home. Nyie acheni ulimbukeni, hamna lolote zaidi ya kuumia roho kila siu na ma-window shopping yenu. Mna-wa-frustrate tu watoto mlio zaa uko. Standard za maisha haziwafikii wazungu. Si heri mimi wangu wanakula kila kitu hapa bongo?? na wamesha wazoea hao mbu. Bongo tambarare bwanaaa.
    Mkija likizo hamuiishi kutuazima magari yetu, oho , naomba gari, ovyooooooooo!!! Ulaya zamani bwana

    ReplyDelete
  8. Anony wa saba nakuunga mkono kabisa
    Kuna wabongo kibao wanageuka machizi ulaya kwa stress walizonazo kutokana na kazi chafu wanazofanya
    Asikwambie mtu bongo ingawa tuna matatizo lakini wananchi wako happy sana kuliko wanaoishi huko ulaya

    ReplyDelete
  9. Kuna watu nawashangaa sana ati gari watoto wanakula. Hivi gari na chakula ndio unaona ni maisha?

    Ati ulaya zamani bwana acheni kuumia roho. Tanzania nchi yangu naipenda sana lakini huwei linganisha maisha ya mtoto aliyezaliwa hapa na hao na kusoma public schools. Hao wanaoenda st st school ndio wanaweza kujilinganisha na niwangapi?

    Mnasema watu wanaosha vyoo nyie hamuishi au kwa vile choo bongo ni jembe mkononi.

    Watu wanakua na chuki wakionyeshwa the otherside of the world.....Kila siku nitumie hiki nitumie kile nitafutie shule nikaribishe huko lakini mkika kwa pc hamuishi kukandia

    Virohoo vya korosho lakini yule mwimbaji hakukosea alivyosema finally uzeeni

    Siye tunajenga bongo na hela za halali nyie ni wangapi wanajenga kwa hela ya mshahara yao? Ukijenga kwa mshahara wako nyumba inachukua miaka 20 kuisha.

    ReplyDelete
  10. HIYO BEMBEA WALIFANYA HEALTH AND SAFETY ASSESMENT KWELI HIYO MIGUU SI INAWEZA KUKWANGULIWA NA BUS LIKIPITA AKIBEMBEA KWA NGUVU HADI BARABARANI HASA WATOTO, NAONA WANATAKA KULIPA FIDIA ZA BURE HAPO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...