wanaume tmk chini ya mh. temba wakijiramba uwanja wa ccm kirumba kwenye fiesta 2008 wikiendi ilopita.
sehemu ya umati wa wadau waliofika kujiramba na fiesta 2008 uwanja wa ccm kirumba
msanii joe makini akifanya vitu vyake ccm kirumba, mwanza. jumamosi hii fiesta 2008 inahamia dar kwenye viwanja vya leaders club

hilo nyomi si la kitoto,hivi huo ubongo uflava unapendwa hivyo!kweli kila kitu na wakati wake.
ReplyDeletenaomba ufafanuzi tafadhali hivi neno sahihi ni KUJIRAMBA au KUJILAMBA?
ReplyDelete