Waziri Mkuu wa Msumbiji Mh. Luisa Diogo akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Msasani Jijini Dar kwa ajili ya kumjulia hali.
Waziri Mkuu wa Msumbiji Luisa Diogo akimvisha zawadi ya nguo aina ya kikoi Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Msasani
Waziri Mkuu wa Msumbiji Luisa Diogo akibadilishana mawazo na Mama Maria Nyerere
Waziri Mkuu wa Msumbiji Luisa Diogo pamoja na wageni wengine wakitembelea bustani ya mboga ya Mama Maria Nyerere wakati walipomtembelea nyumbani kwake msasani Jijini Dar
Mama Maria Nyerere akimpa maelekezo Waziri Mkuu wa Msumbiji Luisa Diogo (aliyevaa nguo ya rangi ya udongo) kuhusiana na aina ya mboga iliyopo katika bustani yake. Picha na mdau Anna Nkinda wa Maelezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. I feel proud of her really. Great first lady. They ruled us without greedy. Mungu akulinde na aendelee kukupa maisha marefu. Wewe ni mfano mwema wa kuigwa na wanajamii wa Tanzania

    ReplyDelete
  2. halafu watu wakizeeka wanafafanana angalia Mama Nyerere anavyofanana na hayati Mwl. enzi zake

    ReplyDelete
  3. Mungu akutunze Mama yetu, hamkutuibia, siyo kama akina Mama Siti, mara dhahabu mara hiki, Mama Che-Nkapa magorofa kibao, mumewe Kiwira, majumba kila kona ya nchi. Michuzi kama unaipenda Tanzania toa hii komenti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...