wasanii wa ze original comedy wakicheza kama watuhumiwa wa ufisadi nje ya mahakama ya hakimu mkazi ya kisutu wakati kesi ya wah. yona na mramba ikisomwa ndani. inasemekana kipindi hicho kitarushwa alhamisi hii kuanzia saa moja jioni kama kawaida yao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. NIMEFURAHI SAAAAAAAAAAAAANA KUMUONA HUYO JAMAA WA KATIKATI AMERUDI ITAKUA NZURI SASA KAMAMWAZO ZE COMEDY

    ReplyDelete
  2. Angalia ze original comedy wakifanya mambo yao www.eastafricantube.com

    ReplyDelete
  3. nyie nyie nyie!

    ReplyDelete
  4. Du! hawa watoto kazi kwelikweli!

    ReplyDelete
  5. Hawa jamaa ni wazuri sikatai, lakini sasa ni kama sifa zinawazidia wanaanza kuigiza kupita kiasi.. mkumbuke too much on anything is always hamful, igizeni kama mlivyokuwa mwanzo, namkubali zaidi Joti kwa sababu hajalewa sifa kama masanja... Mh Masanja is too much.. halafu the most boring ni Mpoki especially anapoanza kuchora uso wake kijinga, unajua sio kuvaa kijinga ndio uchekeshe

    ReplyDelete
  6. AHA, KUMBE INARUHUSIWA KUCHEZA NDANI YA ENEO LA MAHAKAMA WAKATI KESI ZIKIENDELEA. HII SAFI SANA.

    ReplyDelete
  7. Hivi wanatapa ushauri wa Manji kabla ya kucheza michezo kama hii?

    ReplyDelete
  8. Tumeishaiona hii yao ya mahakamani.....ki-ukweli walishindwa kuiweka vizuri labda kutoka na unyeti wa eneo lkenyewe waliloamua kuchezea...ila kwani ilikuwa ni lazima mchezee pale kisutu?.....Halafu nyie mbona mmelewa sifa....kile kimbelembele cha kuanza kuingilia status za mashirika ya ndege (ATC)...mlitumwa na nani nyinyi??...kule hapana bwana...SIYO KAZI YENU.....subirini FUTUHI wawatoe JEURI yenu......HOVYOOO!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...