Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Loh shillingi ina-dive nose down!Haya ni madhara ya Global financial crisis au kumekuwa na mahitaji ya dola zaidi kuliko TZS.

    ReplyDelete
  2. Bwana Michuzi, naomba hii message iwapate akina dada wote wa kitanzania huku ulaya, nyinyi akina dada wa kitanzania nawaombeni sana sana muwe macho na wenzetu wa africa magharibi, msifikilie kuwa na wanaume wa afrika magharibi, siwafichi mnaisaliti nchi ya tanzania na vizazi vyake vijavyo. Wewe kweli baba na mama wanakutuma ulaya kuja kusoma degree harafu unaishia kutembea na wa africa magharibi, kuwa macho na wizi, utapeli, hasa hapo baadae hawa wenzetu watataka kuleta matatizo kwenye nchi yetu, kweli kuweni macho nawaombeni.

    Inaonekana na hasa kwa kipindi hiki imekuwa ni "target" kwa watu kutoka nigeria sana sana kuwataka ndugu zetu wadada wa kitanzania kwa malengo yao binafsi lakini malengo yao makubwa ni

    (1) kupata mwanya wa kuingia tanzania na kuweza kupenyeza utapeli wao na pia kupata mwanya wa kutumia rasilimali za kitanzania ambazo hazijaguswa.



    (2) Likini pili kuweza kuwataumia ndugu zetu hawa katika shughuli zao za kitapeli kwa kuwa wanasema "eti hawajui kiswahili" na hivo kujikuta wakiwaingiza ndugu zetu katika matatizo makubwa sana.



    Haya ni mawazo yangu na maoni yangu. nakaribisha michango kutoka kwa ndugu zangu wote wenye mtazamo ama kama mimi au tofauti na mimi.

    naomba kuwasilisha.

    Mdau,

    ughaibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...