Home
Unlabelled
EUNICE & FELICIAN NYABAMBA WAMEREMETA A-TAUN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi ni we mtoto wa marehemu mzee Nyabamba aliyewahi kufundisha kule Utegi,Tarime.
ReplyDeletefelicien hongera sana karibu utu uzimani kaka.mimi nimekukumbuka kutoka pale makumira high school kumbuka mambo ya CONSO BOYS? pia nilikuwa jeshini na kaka yako pale OLJORO combania moja ya DANGER.
ReplyDeletemwambie MIWANI KIJANA WA KINAMA tuwasiliane
1-780 756 4863
hongera sana karibu wa uvumilivu kila la heri wewe na mkeo
TUMSIFU YESU KRISTO! Hongereni sana maarusi mmependeza sana nawatakia kila la kheri mungu ailinde ndoa yenu.
ReplyDeleteUkosefu wa bahari Moshi na Arusha unapelekea watu kupiga picha zao kwenye vifuta shoto (Vi- keep left" "round about". Moshi wanapigia pale Mnara wa Azimo la Arusha au Askari kasheshe ilitokea walikuwa wanapigia askari siku moja gari ikakosa break ikaua mtoto aliyekuwa anasimamia kweli ni hatari tuwe makini
ReplyDeleteHii tabia ya kupigia picha kwenye round about ni mbaya sana. Moshi mtu alikufa. Kwani Hotel zenye madhari nzuri wanakataa mkienda??? Mmependeza
ReplyDeleteBwana harusi ameoa katika umri mzuri sana nadhani utatulia na mkeo hongereni
ReplyDeleteBibi jinsi ulivyomkumbatia iwe hivyo siku zote. Hongra
ReplyDeleteMmependeza sana na inaonekana sherehe ilikuwa bomba sana! Felician hongera kwa kupata jiko potabo, sasa ulilinde, ulitunze na uliheshimu ili liendelee kukuhudumia bila kuchakaa. Mchezo wa viwanja na pombe sasa uishe kwani sasa umeingia katika kundi jingine. Ninafurahi kuona mmoja wetu pale tulipokuwa tunazisaka nondozzzzz pale St. Joseph kapiga hatua muhimu ktk maisha. Ninakutakia mema katika yote. hebu tutumie picha zaidi.
ReplyDeleteme like dem wapambez
ReplyDeleteAnthony majembe hongera sana kwa mdogo wako kufunga ndoa tunawakaribisha wote kwenye maisha ya utu uzima
ReplyDeletekila la kheri
Anthony majembe,kijana wa kinama,nipigie basi namba hiyoo hapao juu au 1 780 756 4863
heri na fanaka ktka maisha yenu mapya
Jamani Felician HUyu ni yule ninayemfahamu aliyewahi kuishi sinza kwa akina Nyangarya Makoba?
ReplyDeleteKama ni wewe hongera sana.!!!!!
Mr.and Mrs.Felician hongereni sana mlivyopendeza hivyo na mlivyofurahi hivyo iwe hivyo for the rest of yr life. Namshukuru Mungu kwani nilikuwepo na nilishuhudia mkiapa kanisani na jinsi tulivyojichana pale Naura.
ReplyDeleteAll the best.
hongera sana NYANGALIA.
ReplyDeleteBIG UP. Umependeza bro umerepresent st. Jose nasi tuko nyuma ako