ay akitoa wimbo wake 'freeze' aliopiga na kundi hilo toka nigeria na ambao umeshika chati za juu afrika nzima
ay akitoa wimbo wake 'freeze' aliopiga na kundi hilo toka nigeria na ambao umeshika chati za juu afrika nzima
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mkuu michuzi!! mkubwa fat joe naona kapiga kaptula ya kijeshi..... mimi nilikuja hapo bongo mwaka jana police wa kibongo wakaniambia siruhusiwi kuvaa vazi la serikali.... na wakachukua kaptula yangu!!!! sasa huyo fat joe mbona kavaa the same thing???? mdau uk.
ReplyDeleteMichu unapiga picha si mchezo mpaka Jasho linaonekana, nimeona picha nyingi za tukio hili lakini hizi mwisho! Sasa basi si uanzishe twisheni basi Ba!
ReplyDeleteKwenye Hili Song La AY Na P-Square[Freeze] Naona AY Kakupa Shavu Mheshimiwa..anadai ye Masafa ya Mbali Ka'Blog Ya Michuzi[Yes Indeed]
ReplyDeleteByabusha Mwengine!
This is AWESOME! Tumetoka mbali wa bongo, nakumbuka nilikuja likizo halafu kukawa na concert ya Bennie Man, watu wakataka kusogea karibu na stage wakiwa wameng'ang'ania viti vyao matakoni! One of Bennie Man's crew aka shout, "where are you taking your f@#*ing chairs to!" I love what I'm seeing now, Brilliant!
ReplyDeleteMichuzi na wewe bwana acha kuniangusha... sio eve e ni E.V.E yaani anatamka herufi moja moja sio kuwa anasema eve then e!!!!!!!!!
ReplyDeleteKUULIZA SI UJINGA. HAWA JAMAA FAT JOE,EVE E,JAY Z, BEYONCE, KELLY ROWLAND NA WASANII WENGINE KIBAO WALIOKUJA NA WANAOKUJA BONGO, WANA BIASHARA GANI KUBWA INAYOWAINGIZIA FEDHA KISANII HUKO? NIMEULIZA TUU NAONA VIDOLE VITANITOBOVULA MACHO!
ReplyDeletejamani,
ReplyDeletekuna watu blog hii wamekuwa wakimponda sana Ray C kwa kuvaa buti ndefu hadi magotini kwa kudai kwamba joto kali Bongo ni ushamba kuvaa buti! Mimi niliwahi kumtetea kwa kutoa mfano wa Mariah Carey anaepanda stejini nusu uchi wakati wa mwaka mpya New York wakati baridi ni kali ya kufa mtu,about singo digit, nikatukanwa na kuambiwa mie ndo limbukeni!
Swali langu Huyo Eve kavaa buti mpaka magotini na yuko Bongo hali ya hewa ndo hiyo. Tafadhalini jitokezeni na mumsahauri Eve aache ushamba kama mnavomwambiaga Ray C!
Msanii ni mtu ambaye anapenda kuwa creative na pia tofauti ili aweze kuentertain watu kwa style tofauti bila kujali hali ya hewa, afterall onyesho linachukua muda gani si masaa machache tu?
Please msiache kumpa Eve vipande vyake!
Sisteri
still watu walikuwa mbali sana na stage, i liked it better on the Joe Thomas show where the stage allowed for the people to be close to the stage... naelewa wakiwa very much close wanything can happen to the guests artists but ile gap ni kubwa mno hadi mzuka unapungua
ReplyDeletevile vile i was so delighted to see DJ JD performing on the day, he was the DJ for AY and FA he actually killed the show. after all this time not seeing him on stage....monday was so great to me... i wonder why there's no single clip showing him in action....it was hot man!!!!
Wala vumbi oyeeeee!
ReplyDeletewe anony uliye sema wala vumbi oyeee we ulitoka mavumbini na utarudi mavumbini she -----taype . nyie anakuja alikibaka anawachemsha ile mbaya wakati kwetu ni chamtoto tu
ReplyDeleteweee annon acha utani
ReplyDeleteulinyang'anywa kaptula???teh teh teh kwi kwi kwi
aisee sii mchezo,hii toka lini ya kusema vazi lajeshi???
ata ivo fat joe ithink haifanani na ya jeshi letu la bongoland,yetu ina mabaka ya kijani,weusi nk iloiva sana,,,hahahahahaaaa
DUH MWANA FA! Mbona Unazeeka wenzako wananawiri Au ndio Bado Upo Upo? ila mnaimba nyimbo hamuigi umarekani sasa Flana Kubwa Hi Hater Si Fake hiyo imechuja sasa vuwa kaka muone mwenzako FAT JOe kavaa kiflana chake cha $1 Nyeusi siku ya pili nyeupe basi na pensi nyie kujifanya wamarekani sema tukutumie mpya basi Mwana FA flana kubwa Kilo 55 mwili haipendezi bwana. Mtizame mwenzako Mr Ebbo anavyopendeza. UK wamekuweza kweli wamekuona kama mshamba wamekupa Hi Hater FAKE hiyo kaka sema USA huku tukutumie yenyewe.
ReplyDeleteWewe anoymous hapu acha mambo ya chuki wewe tuma basi na picha yako tukuone uso wako acha ushamba wa kubeba mabox wewe, na kwa taarifa yako nilinunua mimi hapa USA na nilivyokutana naye UK ndio akainunua kwangu maana nilizinunua nyingi tu pamoja na za Obama nikazipeleka UK. Sasa acha ushamba huo wakuona kila mtu ananunua vitu feki wewe, na cha mwisho FA si level yako hata kama upo marekani na visa yako ya visitor mwenzako anaweza kuja muda wowote na akarudi bongo anavyotaka grow up mshamba wewe.
ReplyDeleteMdau
NYC
Unayeulizia boots za eve...wenzako wanauliziaga weather ikoje kabla hawajatua mahali popote...na hiyo boot ukiiangalia tu unajua ni lamb na na sio heavy kabisa.
ReplyDeleteMariah akiimba kwenye baridi na mini mini me zake ni kuwa two second kabla hajaingia kwenye jukwaa yupo kwenye makoti na wakati mwingine wanawawekea hata heather zinawapulizia hewa wakiwa wako jukwaani...sasa wenzetu ...hayo maboot wanatoka nayo home na kushinda nayo the whole day kabla hawajaingia jukwaani.....
sio ushamba kama unavaa kitu tofauti na weather lakini kikiwa weather proof .....Yale maboot ya yule mwanadada utayaona ni magumu kwa hiyo ni leather hizi za viatu vya baridi ..
we anony wa 8:51 acha kuchamba kwingu na kujifanya wajua wala kumbe hujuii lolote nyambafu rudi home uje uwasalimie kigoma na uliyempe kisha oa we unangangania ugumba na matokeo yake utalea paka badala ya wadogo zako
ReplyDeleteHahahaha hapa raha sana inaonesha kila mtu dongo linamuingia kwenye Roho aliyemponda Mwana Fa na mwana FA naye anabidi kujibu kama sio yeye raha kweli humu wabeba ma box mpooooo hahah tunawasubiri huku kweli ukweli unauma Uwaaaaaaaaaaaaa Dongo limemuingia mwana FA whois next. hapa bongo waimbaji LAdy jaydee tu kwenye wanaojiita bongo flava na hiphop ni profesa Jay.
ReplyDeleteAliyeuliza kwa nini Holywood celebrities wanakuja sana tz?Tz and other warm countries are their favourite destinations right now kwa sababu it's freezing huku Marekani(below zero)...na hao wanapenda kujiachia hawapendi baridi......they will only be home for thanksgiving,christmas,new year and red carpet events at this winter time.
ReplyDeleteMdau,
USA.