HAYA TENA WADAU WA HOLLAND PAMOJA NA VITONGOJI VYAKE. MSIJESEMA HAMKUARIFIWA MAPEMA. LIBENEKE NDO HILO LAJA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Msije mkawa wasanii kama mapromota wengine na kusumbua watu. Muwe serious na kazi, isifike saa 12 jioni ya tukio mnaahirisha.

    ReplyDelete
  2. Duuh hilo scud anon namba1 linaelekea mjini rotterdam si kungine. lol

    ReplyDelete
  3. michu izi najisi mbona wazipost umu
    why nyuchi za wanawake umu?
    ivi kuweka wanawake na mavazi yao yafichao utupu hatutasoma??

    ReplyDelete
  4. tatizo lenu wadachi majani sana,mnajiamulia bila ya kufikiria wengine,sasa hivi hamtuoni katu.

    ReplyDelete
  5. wewe anonymous hapo juu wacha majungu yasiyokuwa na mana kwani wewe usipokuja sisi tutaenda kwani siusemetu kuwa njaa kali pesa huna lkn usiweke visingizio vya picha hiyo aikuhusu mbona kutwa huko red light wewe umeishiwa ,michuzi asante sana bwana kwa kutujulisha sisi tulikuwa tunatafuta maali pa kwenda sikuhiyo thnx michuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...