
hi!
smiling faces
kwa miaka 3 sasa imekuwa ikishiriki chakula cha mchana au cha jioni na watoto yatima wa kike katika kituo cha KWETU MBAGALA HOME, lakini kwakuwa mwaka huu ni mwaka wa mwisho kwa watoto hawa ambao mapema mwakani wataanza kurudishwa kwa ndugu jamaa au rafiki wa familia, na wasio na ndugu watatafutiwa watu wa kuwa adapt!
Hivyo tumeamua kuwkutanisha na watu mbali mbali ambao ni maarufu au wana wadhifa fulani katika kampuni shirika au serikali ili kuwajengea taswira ya kindugu na kuwafanya wajitambue kuwa ni watu mihimu sana katika jamii yetu ya kitanzania! watu mbali mbali wamekuwa wakitoa misaada ya chakula, malazi na mavazi, wakifikiri ni msaada pekee ambao mayatima wanahitaji, lakini si hilo tu1 wanahitaji kupoendwa na kujengwa kisaikolojia ili waweze kuwa wananchi wazalendo na wenye kiu ya maendeleo!
hivyo wewe ukiwa kama mtanzania tunakuomba kushirikia nasi katika Jioni maalumu kwa ajili yao katika Ukumbi wa Regency Park hotel, siku ya tarehe 19 december kwa kiingilio cha shilingi elfu 15000/= na laki mbili kwa watu maalumu ikiwa ni msaaada kwa watoto hawa! ni kuanzia saa 2 kamili usiku!
Kwa wale watu maarfu na wanao hitaji maandalizi binafsi! usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0717514179
Kwa wale watu maarfu na wanao hitaji maandalizi binafsi! usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0717514179
or
ADOPT, SI ADAPT ANGALIA DICTIONARY KWA URAHISI TU, KWA MAANA YA MBALI YA KISWAHILI PAMOJA NA KUWA SI SAHIHI SANA NI:-
ReplyDeleteADOPT:-
KUJICHUKULIA KITU
KUKIFANYA CHAKO KWA
KUFUATA TARATIBU
ZILIZOWEKWA
ADAPT:-
KUZOWEA HALI
FULANI/KUJIFANANISHA/KUJIFANYA,
KWA MFANO MTU UNAWEZA KWENDA
KUISHI U.K. UKA-ADAPT HALI YA
HUKO, YAANI UKAZOEA BARIDI KWA
MFANO, AU UKAENDA ISHI GHETTO
UKAZOWEA MISEMO YA GHETTO,
MAVAZI NA MIENDO NA MBWEMBWE
ZAO. AU UKAENDA ISHI U.S.A.
UKAZOEA JINSI WATU WANAVYO
BEHAVE NA MISEMO YAO.
Mhhh? majina mengine? cheki last name hiyo...KADINDA? mbombo jilipo.
ReplyDeleteWANAITWA,YATIMA SIYO MAYATIMA!!WEWE!!
ReplyDelete