

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapa inabidi nikubaliane na Bush aliposema kwamba, hayo ni matunda ya kuwa huru !
ReplyDeleteJe hiyo ingewezekana wakati wa utawala wa Saddam Hussein ? Ama tungeshuhudia mwanahabari huyo na ukoo wake wangebadilishwa kuwa "endangered specie "
HAHAAA IT IS SO BAD THAT IT DIDNT HIT BUSHS FACE HAHAHAAAA
ReplyDeletendugu yangu unasema nini wewe?hata mimi ningefanya hivyoni uonevu tu iraq,hakuna kitu wamarekani walichopeleka huko zaidi ya kunajisi nchi ya watu.
ReplyDeletendugu yangu unasema nini wewe?hata mimi ningefanya hivyoni uonevu tu iraq,hakuna kitu wamarekani walichopeleka huko zaidi ya kunajisi nchi ya watu.
ReplyDeleteJOJI ANAJUA KUKWEPA UTAFIKIRI NINI SIJUI AU WALIPANGA NINI?....DU MEI BI..
ReplyDeleteBush anajua kukwepa hadi inafurahisha. Kweli jamaa mjeshi
ReplyDeleteanonymous wa kwanza, na unaadhani hivi sasa yupo salama? serikali zote mbili zinamchubuwa ngozi kwa sasa na si hasha hata akarushwa cuba kisiri siri
ReplyDeleteIli kuonesha wako tofauti na Saddam, wamwachie huru au ahukumiwe watu wote wamuone kwa kosa la utovu wa adabu kwa Kiongozi basi! Ama sivyo hakuna tofauti kati yao na Saddam! Jamaa alishikwa na ghadhabu kwa maneno yao!
ReplyDeletelitizame lisura lake hapo mwisho limetahayari kwa aibu!
ReplyDeletekupigwa viatu ni matusi/dharau ya mwisho kwa waarabu!
hahahaaaa
ReplyDeletejaman bush mbona kazi anayo??ila yuko fit "bizzare moment",ni kweli annon ulosema yan now anasulubiwa kufa mtu mayb eshanyongwa kbs na asipatikane milele mwishoniii miaka ata 5 mbele ndo mayb tutajua ilikuwaje.yan wavomnyakua dah!!!
jamaa alimtukana hadharani "wee mbwa hii ni busu la mwisho la kukluaga"
ehsachubuliwa ngozi kbs
Hayo ndio matunda ya sera mbovu za nje Marekani kujifanya wao ndio waungu wa dunia.Wameharibu Iraq pia wanauwa watu,wanabaka hata mimi ningefanya kama huyu muandishi.
ReplyDeleteI believe that Journalist received the beat of his life after the scene...dayuum!!!
ReplyDeletehahaaa yaani ktk funga mwaka yangu naona hii imechkua namba,nampa big up kijana mjonalist aliyetumia silaha ya kiarabu kumtoa nishai hahaaaa aah naye amezidi ugaidi then anaona wenzie ndio magaidi,bt namie ningefurahi zaidi km kingempata,ila nifunisho la kuiaga dunia hiyo hahaaa
ReplyDeleteHuyu jamaa kanifurahisha sana, japokuwa serikali yake wamemwita mnyama, mimi naungana na wananchi wa Iraq kuwa ni shujaa. Big up sana.
ReplyDeleteyaani mshkaj angekuwa na gun sasa hivi bush ni maiti,da! dunia ya wapenda amani ingefurah kwa sababu hakuna njia ya kumuhukumu bush zaidi ya kifo kwa mauaji yake kule afghanstan na iraq ya watoto na vikongwe wasio na hatia yoyote kuuwawa kwa mabomu ya B52,ni nani jasiri wa kumfungulia mtu huyu mashtaka kwa maovu yake dhidi ya wanadam,kwani hiyo Un ipo nyumbani kwake new york. imani yangu asipouwawa siku moja basi Mungu Mwenyezi atamuhukumu kifo cha udhalili kama alivyokufa Ronald Reegan.unajua reegan alikufaje? dunia haijaambiwa ukweli.
ReplyDeleteMIMI NAMPENDA BUSH NI MTOTO WA MJINI . BABA YAKE MWENYEWE ANAKOMA NAE . LAKINI SIO UTANI SASA HIVI MNAOGOPA AMERICA UKISEMA NYOO HE IS UP TO YOU . BUSH ATAMWACHI KWA SABABU MAREKANI FREEDOM OF SPEECH NA HUYU KAKA ASHAENDA JELA SANAAAAAAAAAA. SIO MARA YAKE YA KWANZA
ReplyDeleteWallah huyo bwana akitoka huko sehemu za siri "Kengele Za Bwana tena"
ReplyDeleteMamaaa... Bush enzi za Marede angeliza watu. Maana watu wangezinga paka wakome, machejo yake ni hatari.
ReplyDeleteJamani mkumbuke Bush ni mshikaji wetu wa karibu. Watu si tulijipanga kumpokea na mamilioni tukayala. Rafiki ni wakati wa shida na raha, kama alivyosema mzee hii inaonyesha kwamba Iraq sasa kuna uhuru.
ReplyDeletehahahaha safi kabisa thats wat u get paid for when u decide to treat people like animals sijui kwa nini mjonalist hakulenga vizuri amtoe macho yote hayo amezidi sana hahahahaah still cant stop laughn too funny my highlight for 2008 wamsamehe tu mjonalist hilo likichaka linabahati haikuwa silaha la sivyo cha moto angekiona lol
ReplyDeleteduh,asije akajaribu kwetu,atagombaniwa kama mpira wa kona,tena mechi yenyewe liverpool na manyuu.umtupie kiatu mheshimiwa???
ReplyDeletewe anon wa kwanza unasema nini hata baadhi ya wamarekani wenyewe wamefurahi kuona huo mchezo, na kwa jinsi Bush alivyoiweka nchi na hali ya uchumi hakuna anayempenda kwa sasa ni basi tuu.... mi nimecheka nilivyoona nikajuwa kweli jamaa COWBOY teh teh heeee
ReplyDeleteto bad he missed i wish he will hit his ass!!!!
ReplyDelete