Hawa washikaji hawataki kukubali kwamba tunawazidi, wanaandika story kwa mti manyongo...
Kuna story ya kunyimwa deal ya Millenium Challenge, na pia kuwekwa kwenye kundi moja la akina Somalia na chombo kimoja cha Uingereza. Pia wanawacheka Rwanda kwamba baada ya kukubali kufuta vibali vya kazi na kuruhusu biashara za Kenya ziingie, sasa wanakiona cha moto, yaani wanawacheka kabisa.................................
wanasema ni ubatizo wa moto.
Link....http://www.theeastafrican.co.ke/news/-/2558/498956/-/s0jyqmz/-/index.html http://www.theeastafrican.co.ke/news/-/2558/498956/-/s0jyqmz/-
Kamzigo kangu kanakuja, ngoja upepo ukae vizuri.
Mdau M.Matinyi
USA
Matinyi
ReplyDeleteShukran kwa articles hizi. Ila umekosea kidogo. Article ya kwanza hakika inazungumzia kuwekwa kwa kenya kwenye kundi la nchi zilizo na serikali hafifu. Ila, article ya pili haiwacheki Rwanda. Usipande mbegu za chuki jamani. Article hio imeeandikwa na Mhariri mahiri kutoka Uganda na ambaye anafanya kazi kenya kwajili ni mfanyakazi wa Nation Media. Anaitwa Charles Onyango-Obbo na ni muAcholi toka North Uganda. Sasa basi usiharibu mambo kwa kutugonganisha na ndugu zetu wa Kigali. Au unaona soo kwajili sasa mnaona mambo inaenda shwari huko kati ya Kenya na Rwanda?
Paulo Kamau
Bado ni ubatizo wa moto, ukizingatia makampuni ya kigeni yanayowekeza Rwanda ni ya lugha ya kiingereza na wanyarwanda walibobea kifaransa, nani ananufaika hapo? unless uniambie siku hizi kenya kifaransa kimeshamiri na ukabila umekwisha. anyway kwa vile watutsi na wakikuyu wote ni wahima na wana tabia za kibaguzi zinazofanana, watakaoumia hapo ni wabantu wahutu! Unganeni tu lakini msije kimbilia kwetu yakishawashinda, na vile wote tabia zenu za tamaa zinafanana, nahisi Rwanda wamegundua njia rahisi za kupitishia silaha za kwenda kuiba utajiri wa Kongo, ndio maana zigo la shehena lilikamatwa na mashifta huko baharini.
ReplyDeleteKamau sibiwe mbishi, pekua hilo gazeti, Obo anawacheka Wanyarwanda anasema kwamba alipanda ndege kutoka Kigali kuja Nairobu na ilikuwa kana kwamba wanatoka Nairobi kwenda Kisumu.
ReplyDeleteHakuna ubishi, Wakenya wamevamia Rwanda na wanawacheka. Mnakataa nini wakati ukweli ni kwamba mnatafuta masoko na ajira baada ya kukimbia kwenu?
Link ya tatu ni Rwanda, Kamau usiwe mbishi.
ReplyDeleteKAMAU USIWE MBISHI UTANIUDHI SASA HIVI NI KWAMBA DHARAU IMEONYESHWA KWA KUIFANANISHA KIGALI NA KISUMU. NYIE HATUWATAKI TANZANIA MNA VIDHARAU JAPO UKIMCHUKUA MKENYA MMOJA MMOJA WENGI NI MASIKINI WA KUTUPA. KWENDENI ZENU HATUWATAKI TANZANIA
ReplyDeletehuenda kuna hoja isiyo onekana lakini hoja ya kifaransa na kiingereja ni butu...jamani vigezo vya lugha vimechoka tuviache !!! jumuia ya ulaya nchi zinaongea lugha chungu nzima.
ReplyDeleteWakenya kama paulo Kamau wanakuwa ni watoto wadogo waliomaliza vyuo juzi juzi.
ReplyDeleteWatanzania wengi sana wasomi waliondoka miaka ya mwanzoni mwa tisini kwenda kufanya kazi Lesotho, Namibia, Botswana na South Afrika, na kamwe hata siku moja hawakuwadharau jamaa wa South hata kidogo. Walifanya kazi zao wakijua iko siku wale jamaa watakapukuwa organized watarudi nyumbani TZ au kwenda nchi zingine kufanya kazi zingine.
Nyinyi wakenya wote mnaokuja sasa TZ hakuna kazi za maana mnazofanya hata kidogo. Basi tu ni makelele mengi yasiyokuwa na maana. Kazi zenu nyingi ni Help desk, IT, mabenki, ualimu wa kiingereza mashuleni, radioni na kwenye mahoteli ya utalii. Hakuna hata mmoja wetu hapo TZ ameshika nyadhifa ambazo zinatishia usalama wa taifa. Kwa kiasi fulani nahisi hata elfu tano hamfiki. Sema tu fedha mnayolipwa na maisha ya TZ kuwa chini zaidi ya huko kwenu Kenya kunawafanya mnaonekana kutesa.
Mnachooumiza watu ni kule kujifanya mnajua kumbe hamjui chochote, mngekuwa na akili msingekuwa na kiburi cha ujinga, mngetulia na kula na kipofu. Lakini kelele zenu za dharau zitawafanya mfukuzwe TZ, maana vibali vyenu vitakuwa kazi sana kuvipata sasa na mtaona wimbi la WATZ wanaotoka UK, Sweden, NewZealand na Australia wakirudi kuchukua nafasi zenu. Na mkisha randa randa bila kazi basi nao wanazirudisha hizo kazi kwa wazawa na kurudi mamtoni kufanya kazi zao.
Angalieni sana nyinyi wakenya kwa kubeza watu dawa yenu iko jikoni na mtajuta kwa nini mnatutukana katika magazeti yenu na kuleta dharau zene za ukabila.
Michuzi,
ReplyDeleteKwanza napenda kushukuru kwa nafasi unayotupatia ya kuchangia katika nchi yetu,its such an opportunity.
Second napenda kumpa shavu raisi wetu kwa uchapa kazi mpaka hapa alipofika,he is doing such a good job kuhusiana na ufisadi na nchi yake kwa ujumla,its a hard work ,Jk usikate tamaa wananchi wako tunakutegemea na tunakuamini na Mungu akutangulie.You are a great president!keep it up.
Third ni hii EU intergation,
Tz kuchelewa kutoa uamuzi wake imefanya vizuri sana for the reason kwamba tumeona what kind of intergation were going to get involved too,
Ndugu zetu Kenya kutokana na mchango wa mawazo yao kuhusu kuchelewa kwetu katika maaumuzi kumeonyesha wazi jinsi gani ndugu zetu hawana adabu wala heshima ya maamuzi ya wengine.
Ngugu wa kweli hana gubu,Sababu kuu ya tanzania kwenye huu muungano ilikuwa ni ule utu na undungu,watanzania ni watu so generous,kind,loving, understanding you name it ,Kenya msione tu wajinga sababu ya upole wetu na utaratibu,thats just the way we are na tunatambulikana duniani kwa amani tuliyonayo.
Juzi juzi kenya mmetoka kukatana mapanga,tell me who wouldn't hesitate towards the intergation after all that?
Cheap is expensive,few free things we might expect out of this EU integration is gonna cost us a fortune.
Uroho utawamaliza hawa ngudu zetu wakenya.
Siku zote ukiona mtu yupo so desparate over things ujiulize mara mbili whats going on?
Asante ndugu Michuzi.