Mratibu wa Maendeleo ya Biashara wa Zain Wilaya ya Masasi, Richard Kisse (mwenye fulana ya kijani) akikabidhi zawadi kwa Suzan wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Raha Leo EAG mjini Masasi, Mtwara mwishoni mwa wiki. Zain ilitoa bidhaa mbalimbali kwa yatima hao kwa ajili ya kuwapa fursa ya kusherehekea vyema msimu huu sikukuu
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya Zain mkoani Mtwara wakiwa na baadhi ya watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Raha Leo EAG mjini Masasi, Mtwara mwishoni mwa wiki.

WANANCHI TUNA UCHUNGU NA MISAMAHA YA KODI MNAYOPEWA KISHA MNATUDANGANYA KWA KUTOA KITU KIDOGO KAMA MISAADA! MBONA SISI WAAJIRIWA VIWANGO VYETU VYA KODI NI VIKUBWA KULIKO VYENU! LIPENI KODI SAHIHI NA KAMA KWELI MNAUCHUNGU NA UDUNI WA MAISHA YA WATANZANIA BASI KATAENI HIYO MISAMAHA YA KODI.
ReplyDeletehata ukibania komenti zetu...historia itawahukumu wote wezi wa mali ya umma kwa kujipatia misamaha ya kodi. Hali wakati watu wanajiandaa kufanya vitu vyao si karibuni.
ReplyDeletekd