Home
Unlabelled
JK ala lanchi ya usiku na madiwani wa dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani Mr President is handsome..ai!White looks good on him..
ReplyDeletekweli kiinglish is not reachable...wapi na wapi lanchi ni chakula cha usiku!
ReplyDeleteheri mimi sijasema.........
Hivi lanchi ya usiku ndio nini?
ReplyDeletelanch mzee ni mlo mkuu unaweza kuwa jioni au mchana, hii ni kwa wale wanaojua na kutumia hii lugha kama yao, au kwa wale wenzetu wajerumani wanatumia neno moja ''das Vesper'' wakimaanisha chakula kinachofuata baada ya ya cha asubuhi, ingawa neno lenyewe linamaana ya jioni.neno hili sio 'die Vesper' ambayo ni sala za jioni.
ReplyDeleteBasi hii ni lugha za watu ni bora kutathimini kabla ya kuosoa.
Anonymous 11:30 pm Sasa wewe unachanganya mambo, kwa wanaojua lugha mlo mkuu wa mchana unaweza kuitwa DINNER uwe ni wa mchana, jioni au usiku. Na lunch ni kwa mchana tuuuuu.
ReplyDeletenyie annons mnajua saaaaaaana kiinglish nawashangaa sana,,,anyway tutajuaje wee ni mbeba box?
ReplyDeletemichuzi lunch ni chakula cha usiku?na dinner ni nini??au ndo yaleyale ya American inglishi na British inglishi??hahahahaaaaaa
madiwani wa nchi hii!!!!ila JK kwa minuso na mizunguko shikamoo.
WANAUME WEUPE
Nakubaliana na Anoymous 1:39 am Sisi wabeba mabox tunalipa school dinners za watoto wetu huku ughaibunui. Watoto hupata hot food na jioni watoto wa huku hupata chakula light (tea and supper) ila wa kwetu wanapata mchanganyiko ugali, wali nk... si unajua chakula cha mswahili huwa ni jioni au usiku.
ReplyDeletehaya bwana ni sawa lunch ya usiku is correct kwa wenye lugha yao! mbona siku izi tumekua watanzania wawili tena sisi tunaokaa nje tunaitwa wabeba mabox? haya wenzetu nyie wa ofisini. mr kikwete umependeza
ReplyDelete