Bendi maarufu ya dance Kilimanjaro Connection chini ya gwiji Kanku Kelly imo jijini Kuala Lumpur, Malaysia, kwa mkataba wa kikazi utakao dumu zaidi ya mwezi mmoja.
Kilimanjaro Connection ni maarufu mno hapa Malaysia kwani imekuwa ikifanya maonyesho jijini hapa zaidi ya miaka 10. kwa habari na picha zaidi tembelea:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. samahani MBONA AO WADADA WAMEVAA NETI MIGUUNI???KUNA MBU SANA INDONESIA eeeeeeeeh!!
    wasalaam

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...