Mama Salma Kikwete akiwahutubia wake wa mabalozi wa nchi za nje waliopo nchini Tanzania wakati wa sherehe ya mwaka mpya aliyowaandalia huko Ikulu, Dar.
Mama Salma Kikwete akigonganisha na baadaye kuinua glasi na Mama Celina Juma Mpango mke wa balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini ambaye ni kiongozi wa wake wa mabalozi wa nchi za nje walioko hapa nchini wakitakiana heri ya mwaka mpya wakati wa sherehe iliyofanyika Ikulu, Dar


Swali: Hivi mabalozi wote Tanzania ni wanaume ambao wake zao wapo hapa? Je, kwa wale mabalozi wanawake waume zao wangealikwa hapa???????
ReplyDeleteGreat, Mama K.
ReplyDeleteMwakani kwenye uzima, idadi ya vitenge na malemba si ajabu ikaongezeka.
Penyewe hapo kwenye glasi ni Coca au Pepsi?
halafu mbona wenyeji[mrs.sitta,mrs.nagu,mrs.pinda,mrs.shein,] ndiyo wametawala hiyo safu ya mbele ktk picha?
ReplyDeletewake wa Mabalozi wazungu walisusia nini?
ReplyDeleteWasioe angalia elimu za watoto wa tanzania wanakazi ya kutumia pesa ovyo. Watoto wanakaa chini shuleni hakuna madawati, mabasi ya wanafunzi mzozo...shida kila kona wao ndo kwanza wanandaa party.......
ReplyDeleteKaka Michuzi najua unaweza bana comment yangu lkn kaka ukweli ndo huu. JK itabidi aendeleze nchi, na ndio maana wazungu wanasema "Children Are The Future". But nchi yetu ndo kwanza rais azidi neemesha famly yake tuu la mzingi afanyalo sijaliona.
Brother Mithupu, tunafurahi kwa picha hii ya close up ya Mama Salma.Ukiitazama tu unafurahi na moyo unapoa.
ReplyDeleteSi uongo Ikulu yetu imependezeshwa!
mwanamke lemba bibi!!!mwanamke almasi sijui,dhahabu,nakshi-nakshi
ReplyDeletemjijuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
wee annon wa kwanza na swali lako vipiiiiiiiiiiiiii?tukueleweje?
umebanwa na musuli nini???
FAFANUA