Balozi Michuzi,
Ningependa kutumia fulsa hii kuwatangazia wapenda na wandau wote wa blog hili kuwa IFP-TANZANIA imetangaza Scholarships za “MASTERS DEGREE” na “PHD DEGREE” kwa WATANZANIA wote wenye sifa kama ilivyoainishwa kwenye Website yao. Kila kitu kinajieleza chenyewe katika website hiyo.
Kwa maelezo zaidi tembelea
announcements_2010_11.asp.
Nawa-encourage sana wadau kuapply ili tuweze kupata wasomi wengi hence maendeleo.
Regards
Maxmillian R. Kattikiro
Dar-Es-Salaam -
Tanzania
E-mail:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani watanzania wenzangu changamkeni,nafasi hizo, tusibaki nyuma wenzetu wa nchi mbali mbali za afrika kama kenya, uganda west-afrika,wanasaidiana sana, kuitana na kusoma katika vyuo mbali mbali vya nje. Hivyo kama nafasi imetokea tusiziache zipotee bure.

    Wenu mdau anayekimbiza umande kwa juhudi zote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...