Balozi Michuzi,
Ningependa kutumia fulsa hii kuwatangazia wapenda na wandau wote wa blog hili kuwa IFP-TANZANIA imetangaza Scholarships za “MASTERS DEGREE” na “PHD DEGREE” kwa WATANZANIA wote wenye sifa kama ilivyoainishwa kwenye Website yao. Kila kitu kinajieleza chenyewe katika website hiyo.
Kwa maelezo zaidi tembelea
announcements_2010_11.asp.
Nawa-encourage sana wadau kuapply ili tuweze kupata wasomi wengi hence maendeleo.
Regards
Maxmillian R. Kattikiro
Dar-Es-Salaam -
Tanzania
E-mail:


Jamani watanzania wenzangu changamkeni,nafasi hizo, tusibaki nyuma wenzetu wa nchi mbali mbali za afrika kama kenya, uganda west-afrika,wanasaidiana sana, kuitana na kusoma katika vyuo mbali mbali vya nje. Hivyo kama nafasi imetokea tusiziache zipotee bure.
ReplyDeleteWenu mdau anayekimbiza umande kwa juhudi zote.