Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi na shukrani kwa kutupa habari mbalimbali kupitia globu yako.
Kama walivyo wengi wetu tumekuwa tukifuatilia nyuzi kwenye globu yako kwa muda mrefu, asante sana braza mithupu.
Mwisho naomba unisaidie kutangaza kajiblogi kangu ambako nimekaanzisha leo, kwani nimepata changamoto kutoka kwako braza na nimatumaini yangu ntaliendeleza libeneke kukaimarisha kutoka kwenye kajiblogi hadi kuwa blogi.

http://kaburu-mawazo.blogspot.com

Shukrani, mdau
Kaburu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Msimamo Wa Muda
    1. Manchester United 21-14-5-2-24-47-2
    2. Liverpool 21-13-7-1-22-46-3
    3. Chelsea 22-13-6-3-29-45-4
    4. Aston Villa 22-13-5-4-13-44-5
    5. Arsenal 22-12-5-5-13-41-6
    6. Everton 21-10-5-6-4-35-7
    7. Wigan Athletic 22-9-4-9-2-31-8
    8. Hull City 22-7-6-9-13-27-9
    9. Fulham 19-6-8-5-4-26-10
    10. West Ham 21-7-5-9-4-26-11
    11. Manchester City 21-7-4-10-9-25
    Hapo kuna wanaoomba kitokee kitu ili ligi iishie hapo.... mambo bado watani!

    michuzi
    Tunaomba msimamo mpya maana huo ni wa muda

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...