Mtumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bibi Newaho Mbeye amefariki dunia usiku wa kuamkia Jana katika Hospitali ya Misheni Mikocheni alikokimbizwa baada ya kuugua ghafla usiku wa Jana.
Kabla ya kukutwa na umauti, Hayati Newaho alikuwa kitengo cha Huduma za Wateja- sehemu ya mapokezi ambako aliendelea na kazi zake kama kawaida mpaka muda wa kufunga ofisi ulipofika hiyo jana huku akionekana kuwa na afya njema na huku akitekeleza majukumu yake ya kila siku.
Kwa wale waliofika makao makuu ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, tangu walipokuwa Sukari House hadi walipohamia Kurasini sura ya marehemu Newaho Mbeye sio ngeni kwao. Mipango na maandalizi mengine ikiwemo mazishi vinaendelea na taarifa kamili baada ya mawasiliano kati ya Uongozi wa Mfuko na Familia ya Marehemu.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA,
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE MILELELE...
AMIN
MOLA AIWEKE PEMA ROHO YA MAREHEMU NEWAHO MBEYE
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya


Pole nyingi kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu mzito na wa ghafla. Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Marehemu Bibi Newaho Mbeye mahali pema peponi A.M.E.N
ReplyDeleteRoho za marehemu wote waliotutangulia wapate rehema kwa Mungu na wapumzike kwa amani. A.M.E.N
Tukumbuke kuwa... bwana ametoa na bwana ametwaa... jina lake lihimidiwe milele.
RIP
ReplyDeleteRIP Neko
ReplyDeleteR.I.P
ReplyDeleteAmen
Mungu ailaze peme peponi roho ya dada yetu Anneth Killian.Bwana alitoa bwana Ametwaa
ReplyDeleteItakuwa ni vigumu sana kwangu kumsahau Newaho kwa mchango wake mkubwa na ushirikiano wake kazini.
ReplyDeleteNitakukumbuka daima da newa
Tulikupenda bali mungu alikupenda zaidi.
Kapumzike kwa amani
Rehema Mkulo popote uliko umepata habari hiyo ?
ReplyDeletejamani mungu amlaze mahali pema peponi newa wetu poleni wafiwa pole ANNA WA BIMA MARIAM MWINYI ROSE ONGARA
nAOMBA TUFAHAMISHENI MIPANGO YA MAZISHI TAFADHALI.
KAKA REHAN POLE SANA, DADA WA KIKWERE POLE SANA NA WEWE MWE NEWA KALALE PEMA PEPON
RIP Neco
ReplyDelete