Hello everybody!
Come and join us for the new years cake from Galileo to us,
Legacy Travel & tours, Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Legacy Travel & tours JMALL hongereni na heri ya mwaka mpya.
    Cake nitumieni kupitia email address yangu. Nitajilisha mwenyewe.

    ReplyDelete
  2. Unfortunately i cant join you at the moment but just want to wish you my brother Lau, and all staff members Legacy Travel & Tours happy new year 2009.
    Your brother Dr. Balilemwa

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa mwenye shati la blue na tai ya blue alisoma Lake sekondari ni mdogo wake mshikaji wangu Bube tulisoma wote A- level Lake ila mshikaji sijuhi yuko anga zipi miaka mingi sana tumepoteana. Jamaa alikuwa mdogo, mwembamba sasa hivi ni bonge la mtu ,naona mambo bongo yamemkubali..
    David (Mdau wa Michigani )

    ReplyDelete
  4. huyu wa katikati ni Rutha tulisoma wote Nyanza primary baadaye lake secondary alivyokuwa slim sijuhi hicho kitambi kakitoa wapi..? naona kimechanganya Dar.
    Gracy.

    ReplyDelete
  5. Wazee naona wasafi si mchezo! Heri ya mwaka mpya.
    Ben(Rexburg)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...