Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakati alipotembelea Chuo hicho leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa huo Kikuu cha Dodoma wakatialipotembelea Chuo hicho Januari 26,2009. Kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo,Profesa Idriss Kikula. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, William Lukuvi na kuliakwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Maghembe
akiongea na uongozi wa wanafunzi wa UDom
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Serikali ya Wanachuo wa Chuo Kikuu cha University of Dodoma wakati alipotembelea Chuo hicho leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...