Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Utamaduni Tanzania Rose Sayore ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa jarida la SOMA akiangalia vitabu mbalimbali katika maktaba ya Taasisi ya SOMA wakati wa uzinduzi wa Jarida hilo uliofanyika katika ofisi zao zilizopo Mikocheni jijini Dar
Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Utamaduni Tanzania Rose Sayore (kulia) pamoja na wakazi wengine wa Regent Estate (ambao majina yao hayakupatikana) wakijisomea vitabu katika maktaba ya Taasisi ya SOMA wakati wa uzinduzi wa Jarida la SOMA uliofanyika Mikocheni jijini Dar

huu ndio utamaduni mzuri sana,,,kujisomea vitabu vya akili na watoto wetu tuwapeleke apo wapate ujuzi
ReplyDeletesio kukaa home kutwa kucha video-games,mikatuni ya tom na jerry,mapepo ya harry potter nk nk
good work SOMA lazima siku nije nicheki apo