Home
Unlabelled
uzio mashuleni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Umenifurahisha Mithupu na picha hii karibu na kwetu.Nimeipenda hii miaka yote hapo palikaa vurugu tu,sasa afadhali inaeleweka wapi eneo la shule na wapi eneo la wapita njia.
ReplyDeleteI think that's good idea, because students don't get distractions from out side
ReplyDeleteUzio katika maeneo mbalimbali hutegemea mazingira yanayolizunguka eneo hilo. Mahali kama hapo Shule ya Uhuru panastahili uzio wa nguvu kama unaoonekana hapo
ReplyDeletekulikua na uzio wa kumwaga Kinondoni Muslimu na bado mitoto ikachanganyikiwa. ukuta hatasaidia wale wasio taka kujisaidia wenyewe.
ReplyDeleteHabari njema ni kwamba Waziri Profesa Maghembe alitoa waraka mwaka jana akipiga marufuku kuweka mafremu ya maduka kwenye kuta za shule. Japokuwa la kushangaza ni kuwa pale sekondari ya jangwani upande wa Morogoro Road, Utawala na hususan bodi ya shule ilimpa mwarabu/mwekezaji eneo lile eti ajenge ukuta halafu aweke show room ya magari. Utawala unajitetea kuwa ilipewa kibali na Tanzania Building Agency kwa kuwa ndiye mmiliki wa jengo hilo ambalo ni la serikali. Lakini kisheria mwenye mamlaka ya kutoa kibali cha ujenzi ni Manispaa ya Ilala na siyo TBA. Kama siyo timely interevention ya Mkuu wa Mkoa Abbas Kandoro pale biashara ingekuwa kama kawa. Hiyo ndiyo habari yenyewe!!!
ReplyDeleteDar bila uzio unaweza kukuta watu wanajimegea eneo lako mpaka uani na ukienda mahakamani unakuta mtu ana hati miliki ya eneo ambayo ina mika si pungufu ya 20 wakati yako ina miaka 10, waulize Yanga uwanja wao ulivyomegwa kifisadi na hata kudai wanashikwa na kigugumizi sijui waliuziana kishkaji? Hako kafensi ni muhimu sana hata ukizingatia humo ndani kuna tubinti Ambato tunapofika darasa la sita na la saba vinaanza mambo yetu yaleeee. SO WEKA GETI TU…
ReplyDeleteGood, mitaa hiyo huwezi kuweka fence yenye "louvres" kwa kuwa kunamsongamano kibao na hao vibaka watapata njia rahisi ya kushukia upande wa pili! inapendeza, na inapunguza utoro wa watoto shuleni.
ReplyDeleteHuo ulikuwa ni mtaji babake. Watu walitoa suggestion kwa lengo la kupata kitu kidogo. Hapa namaanisha kwamba maafisa na madiwani husika walipata kitu cha juu! Hakuna mtu anatoa wazo la maendeleo hapo bongo kama hakuna kitu cha juu babake. Hivi tujiulize, wakati wazazi na wagonjwa wengine wanalala hospitalini chini bila hata ya chandarua, ni wazo zuri kwa halmashauri ya jiji kuanza kujenga hizo kuta? Kwani hakuna maafisa wanaoangalia maeneo yasivamiwe? Nawakilisha!
ReplyDeleteWazee wa kukojoa ukutani chaka jipya hiloooooo
ReplyDelete