(YESU NI YEYE YULE, JANA, LEO NA HATA MILELE)
Jumapili 22 February 09 at 14.30

Tunafurahi kuwakaribisha kwenye Ibada ya Kiswahili, itakayoongozwa na Mchungaji Tumaini Kallaghe, kutoka Ibada ya Kiswahili London akishirikiana na Ev. Felix Kallaghe na Moses Shonga
Njoo tumwabudu Mungu katika Roho na Kweli, mapambio na nyimbo mbali mbali. Wagonjwa na wenye shida mbali mbali wataombewa.
Baada ya ibada tutashirikiana kwa vinywaji na vitafunio.
Watu wa madhehebu yote mnakaribishwa.
Hexham Community Centre
1a Bamburg Close,
Whitley Reading, RG2 7UD
http://www.stanneslutheranchurch.org/
020 7606 4986 or 07983087998
For information:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...