Mabibi na Mabwana ,Nawasilisha kwenu mabadiliko ya misa ya kuaga mwili wa Mzee wetu Leonard Merere, kutokana na udogo wa sehemu ya kufanyia ibada ya kuuaga mwili wa marehemu , kamati ya maombolezi imefanya mabadiliko na muda wa shughuli hii, nawataka radhi wote waliokuwa wametenga muda wa zamani yaani 5 asubuhi na sio saa 11 asubuhi kama iliyokuwa kwenye taarifa ya awali.
Sasa nawasilisha kwenu anuani mpya hapo chini ya barua hii pepe (Email) na narudi tena kutoa shukrani za dhati kwa niaba ya familia ya marehemu kwa michango yenu ya hali na mali .
anuani ni:
J Henri Morin & Son Funeral Home
23 Maple Terrace Spencer,
MA, 01562 (508)-885-3992
Muda wa kuaga mwili na misa umebadilika na sasa shughuli hii itakuwa 3:00pm EST ( Saa 9 alasiri)
Contacts:
Jacob & Anna Merere (978)-726-2227/ (978)-957-2152
Naomi Merere (978)-413-3722 / (978)-632-9823
Juma Malika (781)-244-7353
Simon Twalipo (978)-423-1192
Pastor Abisalom Nasua (214)-554-7381 / Jackson Mollel
HILO NALO NENOOOOOO!!!!!
ReplyDeleteMbona sehemu (Mji)haikutajwa, adreess bila mji inakuwaje? massachusetts ni kubwa, tafadhali fafanua.
ReplyDeletejamani misa iko kitongoji cha spencer pembezoni mwa mji wa worcester
ReplyDeletePole sana Simon Twalipo na wafiwa wote, Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi, Amin.
ReplyDelete-Salama I. T.