Pole na kazi ya kuelimisha jamii.
Mimi na msomaji mzuri katika blog hii ya jamii nikiingia kazini nisome kwanza yaliyojiri ndio niendelee na kazi.
mimi na kijana wa miaka 25. Shida yangu ni kwamba nywele zimeanza kunyonyoka katikati (kipara) naomba mtu yeyote anaejua dawa yake anisaidie kwani kipara sikipendi kabisa.
Naomba email yangu usiiweke hadharani pls michuzi.
Mdau mwenye kialaza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. PAKA MKOJO WA PUNDA ENEO HUSIKA KILA UNAPOLALA UTAKUWA UMELIKOMESHA HILO TATIZO LAKO.
    DR KUGAKUGALALA

    ReplyDelete
  2. Aisee, mimi napenda kipara. Hivi umefanyaje ukakipata? Nipe dawa na mimi niwe km Profesa.

    ReplyDelete
  3. duh we uko makini. umepata kujua kuwa miaka ya sabini kipara ilikuwa dili Uganda na Rwanda sasa hutaki ije kuwa dili tena ukawa tageti

    ReplyDelete
  4. weka super glue. hazitoki hizo

    ReplyDelete
  5. ANONY WA 12:39, NAKUUNGA MKONO, HIYO NI DAWA AMBAYO HATA MIMI NAIJUA NA NAI-RECOMMEND KWA MWENZETU. ILA UWE MKOJO WA PUNDA JIKE NDIO UTAONA MABADILIKO YA HARAKA. CHEERS!
    DR MBURUKENGELOZO, BRAZAVILLE.

    ReplyDelete
  6. Mimi ninakipara sikichukii,kipende vinginevyo utapata shida kbwa sana maishani.Ni tatizo amablo lipo nje ya uwezo wako.au kata kichwa.
    Am

    ReplyDelete
  7. NADHANI HUYU JAMAA HATAKI FWEZA..

    HICHO KITU SISI WENZIO TUNAKITAFUTA KAMA ALBINO WAWINDWAVYO NA WENYE NIA ZAO.

    NADHANI MPAKA HAPO UTAJIFIKIRIA TENA KUHUSU HICHO KIDUDE.

    ReplyDelete
  8. sasa wee mchawi au nyie mlonyang'anywa leseni na pinda?
    bado unaexist?

    ReplyDelete
  9. kama umjinga utapoteza pesa zako bure ukweli hakuna dawa ya upara. daima utapat watu wanaokwambia ukifanya hivi au vile utaota tena kwa ufupi no way. wewe unadhani kama kuna dawa kweli akina elton john na wenzake tele wenye pesa wangeliangukia kuvaa mawigi?

    ReplyDelete
  10. Dawa yake ni kuvaa kofia mfululizo bila kuivua kwa muda wa miezi mitatu.Ukiweza kutumia kofia kama ile ya Lyatonga Mrema itakuwa vizuri zaidi

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  11. MIMI BADO SIJAELEWA NAOMBA UFAFANUZI, UMESEMA NYWELE ZIMEANZA KUNYONYOKA "KATIKATI" (KIPARA)..HAPO NISAIDIE KATIKATI WAPI?

    HATA HIVYO DAWA NENDA BURUNDI INAPATIKANA KWA WINGI TU....LOL

    ReplyDelete
  12. Tumia mbolea za chumvi chumvi kama UREA, CAN na NPK pakaa kichwani kwa wiki moja nywele zitafika mgongoni

    ReplyDelete
  13. warm olive oil
    1 tablespoon honey
    1 teaspoon cinnammon powder
    changanya vitu hapo juu, jipake kwenye kichwa kabla ya kuoga, subiri kwa muda wa dakika 15 halafu safisha kichwa chako, jaribu utujulishe kama utaona mabadiliko yoyote.

    ReplyDelete
  14. Sikiza ndugu yangu,ingawa sina uhakika kama bongo zitakuwa zinapatikana au lah,na kama hakuna ongea na jamaa yeeyote aliyekuwa abroad atakutumia.Exactly dawa yenyewe inaitwa "minoksidil",ila inakuja na majina tofauti kama "bioxyin" au unaweza ukajaribu pia "Rogain" zote hizi ni nzuri,unaweza ukacheck vizuri kwenye net upatikanaji wake.
    Thanks Mdau wa Istanbul

    ReplyDelete
  15. HAHAHAHAAAAA?!!!sasa wadau wengine hii ni too much,hizo dawa nyingine mlizomshauri-mchanganyiko wake unaweza shangaa umeunda bomu.....

    ReplyDelete
  16. POLE KWA TATIZO LILILOKUPATA, MIMI PIA LILIANZA KAMA UNAVYOELEZA ILA MIMI NILICHOFANYA NI KUANGALIA ISHARA ZA MARADHI, NILIANZA NA UKIMWI NIKAONA KUWA NYWELE HUANZA KUNYONYOKA KAMA UNAVYOSEMA WEWE, BASI NIKAONA HERI KWANZA NIKAPIME KAMA SIO SABABU HIYO BASI NITAENDELEA NA UCHUNGUZI MWINGINE; NILIPOENDA KUPIMA NIKAKUTWA NINAO HIVYO NIKAJUA HIYO NDIYO SABABU KUU. HIVYO NDUGU YANGU NINAKUSHAURI NAWE NENDA UKAPIME KWANZA, KAMA SIYO UTAENDELEA NA UCHUNGUZI MWINGINE, USIOGOPE KUPIMA KWANI KUPIMA SIO KIFO.

    ReplyDelete
  17. watafute wote wanaojishughulisha na product za aloe vera na bee products from FOREVER LIVING PRODUCT watakusaidia sana wewe na wengine wote wenye matatizo mbalimbali kama kisukari,blood pressure,magonjwa ya ngozi,vimbe katika sehemu mbalimbali n.k.

    ReplyDelete
  18. Watafute neema herbalist clinic watakusaidia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...