hili jengo ambalo liko sehemu za kigamboni, dar, zamani kilikuwa kinaitwa chuo cha sayansi ya jamii cha kivukoni na sasa ni kama jina linavyosemoka hapo. kwa mengi mengine zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani basi kwa nini tusiamue kabisa kila kitu tukipe jina la nyerere? sipingi kuwepo kumbukumbu za mwalimu lakini this is too much.

    ReplyDelete
  2. Hiki chuo kipo bomba sana wanachuo wana nidhamu na hawana historia ya migomo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...