KAMPUNI YA DMK GLOBAL PROMOTIONS NA KAMPUNI YA ENTERSTATE ENT

KWA PAMOJA WANAWALETEA

" PISCES" MARCH MADNESS BIRTHDAYS SHOWDOWN,KWA WALE WOTE WALIOZALIWA KATI YA MWEZI WA PILI TAREHE 20 HADI MWEZI WA TATU TAREHE 20 WAISHIO DC,MD & VA,KWA PAMOJA WATAKUWA WANASHEHEREKEA BIRTHDAY ZAO.

SO FAR WATU 500 WAMEALIKWA, WATU WOTE WA EAST AFRICA AND ALL OVER THE WORLD MNAKARIBISHWA ,SURPRISE GUEST ALIYEZALIWA MWEZI MARCH.

NJOONI TUSHEREKEE PAMOJA AND HAVE GOOD TIME AT
GALLERY LOUNGE
1115 EAST WEST HIGHWAY
SILVER SPRING,MD,20910
MUSIC BY - # 1 CAT DADDY DJ JOE OF 93.9FM WKYS
ALSO FROM TEXAS DJ Q STICK OF 101.1 FM
FOR MORE INFORMATIONS PIGA # 301-661-6207 OR # 646-961-8010
TABLES- RSVP@DMKPROMOTIONS.COM

VISIT WEBSITE:

WWW.DMKPROMOTIONS.COM
WWW.DMKGLOBALPROMOTIONS.COM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MIE NIMEZALIWA FEBRUARI 29 NA MWAKA HUU HIYO TAREHE HAIPO. NARUHISIWA KUJIUNGA INGAWA SITASHEHEREKEA TAREHE YA KUZALIWA KWANGU? MDAU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...