wapenzi wa baba ya muziki MSONDO NGOMA MUSIC BAND mnaweza kuwasikiliza na kuwaona magwiji hawa wa muziki nchini katika youtube. Aboubakar mwana wa Liongo upoooo???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mpiga saxaphone wa Msondo Ngoma ana nikumbusha upigwaji wa Twahir Moh'd enzi za masantula ngoma ya mpwita ya kina Kiki.

    Msondo mmetoa changamoto kwa wazee wazima wengine kina Sikinde, Bana Maquiz, Kilimanjaro Connection, Zahir Ally Zorro, Mtoto Mzuri Tshimanga Asosa, Njeje, Father Kidevu Salvador, Hamza Kalala n.k kujipwita ktk sayansi ya mawasiliano ya kisasa.

    Mbali ya kufurahisha pia inawezekana siku moja mkapata mwaliko sehemu mbalimbali za Tz, jumuia ya East afrika community na ughaibuni.

    Siku hizi si rahisi kuona mpuliza saxaphone anavyo weka kukipuliza kitu hicho kama huyo wa Msondo.

    Mdau
    Honolulu, Kisiwani Hawaii
    Pacific Ocean.

    ReplyDelete
  2. http://www.youtube.com/watch?v=dvNXLC2CUcA - Acha Kusema Muzungu.

    Mkumbuke kukatia bima vyobo vyenu vya muziki maana vyombo hivyo ni kama chombo cha biashara kina weza kupata ajali.

    ReplyDelete
  3. Nawaona marehemu TX na Momba inatia uchungu sana.

    ReplyDelete
  4. Nawaona marehemu TX na Momba inatia uchungu sana.

    ReplyDelete
  5. Msondo endelezeni libeneke la muziki wa dansi kwa Kiswahili, kama inavyoonyesha soko lake ktk kipisi cha kazi ya mwanzuoni mmoja huko Sweden.

    Swahili is the language which has succeeded most south of the Sahara.

    It is now the national and official language in Tanzania, and it is also the national language in Kenya and Uganda, and one of the six national languages of Zaire. It is also used in the Comoros, Mozambique, Rwanda, Burundi and parts of Somalia, Malawi and Zambia.

    A couple of hundred thousand East Africans settled in Yemen, Oman and the Gulf region also speak Swahili as their mother tongue. Upto 1970 in Basra, Iraq, there was a government primary school which had Swahili medium upto the fourth grade.

    Source: Abdulaziz .Y. Lodhi, University of Uppsala Sweden.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...