akiwa na umri wa miaka 18 huyu tu msanii huyu almaarufu kama zungu ni mpiga drums wa bendi ya wahapahapa na yumo katika vitabu vya historia kama mpiga drum kijana kuliko wote nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. BALOZI MITHUPU
    UNA HABARI JOSEPH MAINA WA MSONDO NGOMA AMEAGA DUNIA MCHANA HUU?

    ReplyDelete
  2. Sasa wampe ulinzi basi huyu mtaalam wetu wa kinanda!!! Si mnajua kuna wale wapuuzi wanaotaka utajiri kwa kuangamiza ndugu zetu hawa.... Watu wavivu sijui wanatoa wapi imani hizi!!!??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...