Head Priest Zekarias Gebre Michael of the Ethiopian Orthodox Church (centre) is accompanied by Ras Makonnen Tafari of the Priestly Order of Melchizedek (right) and one of his colleagues, as they prepare the coffin to receive the body of the late Professor Mkhululi, at his home in Njiro Hill, Arusha.
The Dean of the University of Dar es Salaam Business School (formerly the Faculty of Commerce and Management), Dr Marcellina Chijoriga, reads a speech on the work Professor Mkhululi did at the UDSM at his home in Njiro Hill.
The late professor’s daughter, Letsiwe Edwards, pays her last respects at the family home in Njiro Hill.
A section of hundreds of  mourners gather at the burial ground at Kijenge in Arusha

Professor Mkhululi laid to rest in Arusha 

Story and photos by IMAN MANI 
Professor Joshua Naphtali Mkhululi (formerly called Ken Edwards) was laid to rest in Kijenge, Arusha yesterday March 28, 2009. 

Hundreds of people from all walks of life paid their last  last respects  at his family home in Njiro Hill and  later on accompanied the casket to the burial grounds. 

Also  present was the Dean of the University of Dar es Salaam Business School (formerly the Faculty of Commerce and Management), Dr Marcellina Chijoriga. 

Dr. Chijoriga said that she could not miss such an opportunity to pay her respect to the person who was not only the first dean of the faculty but the brainchild behind its establishment.

On a more personal note in reference to the late Professor she added, “He was one of a special kind – putting everything in what he believed in.”

Being a member of the Rastafarian faith,  the  ceremony was conducted in accordance with the Ethiopian Orthodox Church’s principals, the the first time in Tanzania’s history for such proceedings. 

Head Priest Zekarias Gebre Michael, who came especially for this purpose from Nairobi, Kenya, the day before conducted the ceremony. 

Ras Makonnen Tafari of the Priestly Order of Melchizedek, based in Dar es Salaam, accompanied him together with two other colleagues. 

The late Professor Mkhululi, who died early this week in Dar es salaam,  has left behind six children and one grandchild. 

May Jah rest his soul in eternal peace

Amen




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. go and lay blessed prof.reat in peace. let the almight God grant and shed cast of shame to all those who didnt recognize the true spirit and thinkfulness of this true son of Africa.
    shame on you all government official who denide this hero and true son of the continent[africa], the right to leave and enjoy in this small part of africa[tanzania] the country he loved by heart.
    bwana aliyoa na bwana ametoa ,jina la bwana libarikiwe.

    ReplyDelete
  2. iman mani nae mpana kama shingo ya bazee. eti ni mara ya kwana katika historia ya tanzania kufanyika mazishi ya ki-rastafarian/ki-ethiopian orthodox church. unajuaje?

    ReplyDelete
  3. Hi mich

    mazisha ya prof ndio yamepita tayari, maziko yalifanyika majira ya saa tisa na nusu mchana. kabla ya mazishi ulitolewa wasifu mbalimbali wa kuenzi kazi alizofanya professor mkululi. kati ya waliotoa wasifu ni pamoja na dean wa kitivo cha biashara mlimani (udsm),mama huyu hakupendezea katika hotuba yake kwa kile alichoonyesha kwenda kukosoa hutuba ya mtoto wa marehemu aliyotoa na kuanza kurekebisha hata na wale waliotangulia kuongea hakupendeza na alionyesha kukera watu wengi mno na pia alionyesha matambo yasiyokuwa na msingi kwa kutafsiri zaidi ni kama vile alitamani yeye ndio angekuwa dean wa kwanza kitivo cha biashara, any way tumalize ya huyu bi mkubwa kwa sasa.

    aliyeonekana kuvutia na kuongea maneno ya busara ni mhs. Reginald Mengi, ambaye aliongea maneno mafupi na ya faraja kwa wafiwa alisema kama mtu amekuazima ngo'mbe wake wa maziwa ukaa naye kwa muda wote unaetaka wewe, mtu yule akaja kuchukua ngo'mbe wake utachukia?? akautafsiri mfano huu kwa kusema kama mungu amewapa professor kwa miaka 64, leo akaamua kumchukua basi msilalamike sana, kwa kweli maneno haya yalileta faraja kubwa mno kwa wafiwa pamoja na waliokwenda kuzika.

    Baada ya hotuba hii zilifuata hotuba nyingine ikiwemo ya Baba mkwe wa professor ambae aliomba na kuasa kwa kuwa prof ameifanyia Tanzania mambo yaliyomengi mazuri basi anaomba mashirika yote ambayo ameyafanyia kazi yawajali watoto wa marehamu pamoja na kuwaendeleza kielemu.

    Kumalizika kwa hotuba hizi kulifuatiwa na kile kichokua kizikto zaidi ambacho ni kuuaga ni mwili wa marehemu, kabla ya kuuaga mwili huu ilifanyika sala nzito ya imanai ya kirasta, sala hii iliongozwa na orhodox priest ambaye ilibidi afuatwe Nairobi kutokana na kutokuwepo na priest huyu wa ki orthodox hapa nchini, ulikuwa ni wakati mzuri sana kuweza kujifunza mambo mengine ya kidini na mila yanavyokwenda.

    Sala nzuri sana na yenye hisia nzito na kwa mbali kulikuwa na midundo ya ngoma. kulikuwa na huzuni lakini huzuni zote zilipoozwa na hali ya ushwari ilionyeshwa na marastafari. Kwa kweli msiba huu uliudhuriwa na watu very sensible hapakuwa na watu wasengenyaji na wasio na imani na hata wasengenyaji wangekuwepo wangeongea nini cha ajabu kuhusu profesa zaidi ya kujifunza na kukubali mchango wake mkubwa.kiuhalali kilikuwa kilio na somo kwa wakati mmoja.

    ReplyDelete
  4. Jamani tokea lini rastafarianism imekua orthodox?najua kuwa a lot of their pilars are through ethiopia ie haille sellasie but that does not make them ethiopian orthodox nor any other type of orthodox churches be it eastern or oriental. imani ya rastafarians haiendani na any other other christian orthodox belief.yani siamini huyo mtu kaandika article kabisa bila kuresearch tofauti ya dini/imani hizi mbili. ndio maana tunasemwa tanzania kuwa journalism yetu haina mbele wala nyuma mtu yeyote tanzania anaweza kuwa journalist

    ReplyDelete
  5. orthodox churches are some of the oldest churches while rasfarianism is quit a new religion. Rastas are not orthodox and the only link they have to ethiopian orthodox churches is that Haille Sellasie was an orthodox christian but rastafarians themselves are not orthodox christians. ethiopian orthodox is closer to greek and russian orthodox churches and nothing to do with rastafarianism. huyu marehemu simjui ila inaonesha yeye atakua alikua orthodox chrian and not rastafarian in the sense ya kuwa anafuata dini hiyo but a rasta through being jamaican and keeping dreadlocks etc is just part of his culture. ni kama waarabu awe mwislamu au mkristo bado atavaa kanzu yake hiyo ni culture yake. ila si sahihi kufananisha orthodox na rastafarianism kama dini moja au zinazofanana kama alivyoandika huyo iman

    ReplyDelete
  6. hivi unafiki kwenye misiba utaisha lini?????Mengi Mengi Mengi!Only God knows but wewe ulikataa ku-sign papers zake kwa kisingizio anyoe nywele zake....umemsumbua miaka mingi kuja-dar kupata sign yako!najua michuzi hutaiweka hii lakini ndo ukweli wenyewe!

    ReplyDelete
  7. Professor Ken Edwards kwa kweli kazikwa na kazikika, kwani watu toka sehenu mbali mbali pamoja na waalimu wenzake na wanafunzi aliowahi kuwafundisha UDSM walihudhuria hii ikonyesha alikuwa kweli kipenzi cha watu. Baadhi ya waalimu na wanafunzi wakati Prof Ken akiwa Dean wa Faculty of Commerce and Mgt early 1980s niliowaona walikuwa ni Dr Mushi, Fred Mosha, Marcelina Mvulla(Current Dean of Business Scool of udsm), Dr Komba (now Permanent Secretary- Tourism and Natural resc) Leodgar Tenga,Baraka Msilwamalongo, Rashid Malima just to name few, na Masecretary wa Kitivo tokea enzi za Marehemu hawakuwa nyuma

    Pia Mzee Mengi alikuwepo ambaye enzi za Prof Ken akianzisha kitivo cha biashara ndiyo alikuwa Mwenyekiti wa NBAA. Kuwepo na kujumuika kwa wake zake wawili, wa kwanza akitokea Swaziland na watoto wake wawili wa kwamza, na mke wa pili wa hapa Arusha akiwa amezaa naye watoto wengine wanne kulikuwa ni chachu tosha ya kuhitimisha majonzi kwa ujumla. Mungu ailaze pema roho ya marehemu Prof Ken Edwards, Amen

    ReplyDelete
  8. Kaka Iman there is a typing error. WHO DIED EARLY THIS WEEK IN DAR ES SALAAM. He died in Arusha and not Dar es Salaam.

    ReplyDelete
  9. Sina nia ya kuleta mabishano katika swala la msiba ambalo wote tuliokwenda pale nia yetu ilikuwa moja tuu, kumuaga na kumuenzi aliyekuwa mwanzilishi wa kitivo cha biashara cha UDSM Prof Ken Edwards. Ila kama mmoja wa walliohudhuria na kusikiliza hotuba zote zilizotolewa kwa ufasaha nataka kutofautiana kidogo na mtazamo wa mdau hapo juu aliyejaribu kukosoa hotuba ya Dr Marceline Mvula Chijoriga(Dean Business School).Sidhani kama kulikuwa na kasoro yoyote katka hotuba iliyotolewa na Dr Marcelina. Offcourse yeye kama mwakilishi wa chuo kikuu kutamka miaka halisi ya Prof Ken kuwa ilikuwa saba badala ya ile kumi iliyotjwa na mwanae kabla katika speech yake, sidhani kama huko ni kukosoa. Mimi na wengi wetu tuliona ni katika kuziweka kumbukumbu sawa tuu. So katika swala la utumishi wa UDSM nadhani Dr Marceline kama muajiri wa chuo kikuu alikuwa yuko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuelezea utumishi wa marehemu kuliko mwanae ambaye sidhani hata kama alikuwa ameshazaliwa wakati marehemu baba yake akianza kazi UDSM 1976/1977. Pia mahala penye mkusanyiko wa wasomi na watu wa kawaida sikuona kosa La Dr Marceline kuzungumzia hotuba yake kwa Kiingereza na kiswahili kwa wakati mmoja. Wengi tulichoona pale ni uwezo wa mwanamama huyo ku present hotuba kwa kiingereza na kiswahili kwa wakati mmoja tena kwa speed ya hali ya juu. Tuko wachache wenye kipaji cha namna ile. Anastahili kupongezwa kwa uwezo wake wa presentation na si vinginevyo. Swala la kwamba angependa yeye ndiye angekuwa mwanzalishi wa kitivo sidhani kama ni hoja iliyokamilika, kwani Dr Marceline alikuwa ni mwanafunzi wa PrOf Ken. Kama ni swala la yeye kuwepo kwenye record ya uanz ilishi bado anayo, kwani ni katika wanafunzi wa kwanza ku graduate with Bcom Degree of UDSM in 1981pamoja na kina Dr DAU now NSSF DG. Pia ameshajiwekea record just last February ya kuwa mwanzilishi na Dean wa kwanza wa UDSM Business School.

    ReplyDelete
  10. Sijamuelewa mdau hapo juu zaidi kwa kusema paper zake Professor Ken Edwards hazikusainiwa. Ni paper zipi hazikusainiwa zilozohitaji signature ya mtu?. Na ni nani huyo aliyemsumbua marehemu Prof wetu eti mpaka akate nywele?. Unaposema unafiki kwenye msiba utaishi lini... ukafatisha na maneno MENGI, MENGI, MENGI mara tatu, hapo sijakupata. Una maana MENGI MZEE MENGI WA IPP au ni aje?. Sijaelewa. Na kama ndivyo, Mzee Mengi alikuwa anahusika kivipi katika ku sign form za Marehemu. I mean at what CAPACITY NA NI PAPER ZA NINI?.Hebu mdau tufungulie pazia tuweze kujua kilichojiri

    ReplyDelete
  11. Ni swali kama hilili nami pia nimetaka kuuliza? unafiki unakuja vipi kwenye msiba?? na mengi mengi mengi??? tunasihi muache chuki binafsi na linginelo kwa wale waliuliza orthodox priest?? ni kweli alizikwa na orthodox priest kutoka ethiopia baada ya kukosekana kwa kiongozi wa kidini ya kirastafaria.

    ReplyDelete
  12. Acheni kuwaandikia watu wazima waliofanikiwa kimaisha kama mengi maneno ya ajabu ajabu, aliyepewa kapewa acha chuki binafsi.

    ReplyDelete
  13. ANAYEJUA NINI KILIMNYIMA PASIPOTI PROF.KEN ATUAMBIE.NI WAZIRI AU KATIBU MKUU GANI ALIYEMNYIMA URAIA?IKIWA UFARANSA INATOA URAIA KWA WACHEZAJI MPIRA KWANINI PROF HAKUPEWA?

    UK NA MAREKANI UKIWA NA PhD wanakupa uraia.nani aliyemnyia uraia prof ken?

    pili watoto wake tutawasaidiaje? tuanzishe Professor ken Foundation kuijali familia yake na kusaidia jamii kama njia ya kumuenzi prof ken tunadeni kubwa kwake.kama ndio yeye katutengenezea watendaji madhubuti kama DR.DAU wana Nffs basi tunadeni kubwa.

    kumbe ubunifu wa DR.DAU chanzo chake ni huyu Professor?
    nssf inajenga nyumba za polisi,jeshi,daraja kigamboni etc.elimu hiyo imetoka kwa huyu professor. tunadeni.

    ReplyDelete
  14. kwa kasi deni ni kubwa mno, watu wenye vipaji vya kweli Tanzania wanakua overlooked kwa uwezo wao wote na wale wanaoweza kuwasigina.

    Huyu Kikwete angeanzisha mkakati wa kutafuta vichwa kumi katika kila mwaka watu wanapograduate, hii ajumuishe wanafunzi wanaotoka nje na wale pia waliohitimu ndani ya nchi, watu watambuliwe waandaliwe hii itajenga confidence pia ya watu katika nchi zao na sio kubabaika pale anapohitajika mtaalamu wa jambo fulani kama ilivyo sasa muozo mtupu, nidhamu hakuna yaani aibu kwakweli.

    vijana wengi hawana kazi basi inabidi watu wakae kupanga mambo ya ajabu ajabu ambayo yanafanikiwa, Ikiwemo kama zeutamu ukimchimba sana huyu bwana ni mtu mwenye uchungu sana lakini hana jinsi ya kuexpress hasira zake isipokuwa kufanya vile anavyo fanya anaipaka nchi matope picha ambayo inaonyesha watanzania wote ni wa majungu lakini ukweli kilichopo ndani ni hisia kali za hasira.

    Mimi ninaogopa kwamba tunaenda vibaya mno. Jamani kitu kifanyike. Eti moja ya sababu ya kumnyima prof uraia ni kuvuta bangi! hiyo bangi yake amewahhi kunyanyua rungu akachapa nalo mtu kweli???? zaidi ya kufanya mambo mazito ambayo hata asiyevuta hiyo bangi hawezi?? Youuuuuuuuuuuuuuuu Tanzanians!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...