Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Maandishi ya KP mara nyingi hayasomeki vizuri hususa ni inscriptions zinazokuwa ama kwenye vibao vya sign-posting au kwenye nguo kama ya huyo mdanganyaji. Katika ulimwengu wa katuni fupi, ukikosa neno moja ni umekosa yote. Would you please enlarge your fonts - au pengine images zenyewe kwa sababu inawezekana kabisa kwenye original image kunasomeka vizuri...
ReplyDeletemdau hapo juu hiyo sio issue, you can enlarge it yourself by clicking the image
ReplyDeleteWe mzembe, click mara mbili kwenye katuni itakuwa kubwa halafu utasoma. We lazima uko Bongo.
ReplyDeletewewe muosha vizee na mabanda ya nguruwe kwani akiwa Bongo ndio nini? acheni kukandia pale wenzenu wanapojivunia...unataka kuniambia wote waliopo Bongo upeo wao mdogo? huyu baba yako aliyekupeleka uko mwenye anajivunia na Bongo yetu na mimi mwenyewe nikilamba nondo yangu narudi Bongo kula bata, nimeahidiwa nafasi ya Liumba pale mjengo wa minara pacha...ww endelea kukandia tu, na una zari Balozi anaweza bania hii comment maana ningekuchana live mporipori ww
ReplyDeleteNaruid kwa anony march 29, 6:05 am, kakwambia bongo ndio hawajui computer nani??kuna watanzania kibao wapa hapa uholanzi mieka kenda wamezamia na hawajui mambo kibao?Na jinsi unavyojibu kwa upeo mdogo lazima na wewe ni wale watu waliofika nje mkabadili na majina yenu ili mpate uraia.Heri babako angekupeleka/Unajivunia nchi ya wenzako hata wenyewe wanakushangaa.Acha hizo wewe kama hupendi tanzania kivyako wengine tunaipenda sana na tumekuja kusoma huku tukishapata elimu tunarudi BONGO.Endelea kubeba maboksi hata shule husomi wewe utabakia hapo hapo kusema wabongo.
ReplyDeletekrs
Netherlands
Hebu a mimi nimpakie kidogo huyo PUNGUWANI aliyekandiya BONGO.
ReplyDeleteUnajua hawa waliokuja huku kwa nauli za kuchangisha nyumba hadi nyumba wanamatatizo sana.Kwa jibu alilotoa,inadhihirisha wazi kwamba kama ueo wake ni finyu mno.He/she has got "chicken" mind.Katika hali ya kawaida mtu mwelevu ambae yupo huku hawezi kutoa jibu la kipuuzi kama la huyo bwege.
Sisi wengine tupo huku lakini tukiwaona vijana wa nyumbani wanaofanya kazi za day care,mara nyingine inasikitisha kwa kweli.Bora basi wale walionyamaza kwasababu wengine ni kweli hawana option,inabidi wafanye sio kama huyu Lofa.
Mdau.
To the 4:28am anonymous contributor. Having a direct access to an image or text and navigating further rather than tuggling through two different windows is what user-friendliness is all about. You will typically have a few minutes to scan through a typical Michuzi page (before it is time to catch a daladala home) and I do not think opening a new page and going back helps in optimising the use of that time.
ReplyDeleteI would rather see an image clearly displayed rather than having to enhance it for a clear view.