Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Ama kweli majuu hamnazo na haya ndiyo ya firauni haswaaa!!!.... kwa kweli hii dunia ina mambo mengi tu ya kushangaza na kustaajabisha!!

    ReplyDelete
  2. Mhhhh Hii kali. Mwanzoni nilizania huyo bibie ndio hazai kumbe wote wanaume hawazai. Wahame huo mji haraka kuna jambo hapo. Labda maji au something kinawafanya wanaume wasizae.

    Huruma yake na huyo kwa kuibiwa though. Yaani angetunza hao watoto mpaka lini bila kujua kuwa ni wakwake jamani. Duh dunia hii kuna wanawake basi tu.

    Lakini swali langu ni kuwa kwanini hao watu wasitumie IVF method?. Kwani lazima mwanaume siku hizi mtu kupata mimba jamani? Kwanza IVF most of the time guarantee to get pregnant and sometimes multimple...Wamuulize octomum ...

    ReplyDelete
  3. kweli Baba wa mtoto anajua mama. hi kali.

    krs
    netherlands

    ReplyDelete
  4. Shauri yenu washikaji ambao watoto wenu hawafanani na ninyi, hata kama ni mmoja, angalia sana huenda ilipigwa bao. Do! Asalaleeee!

    ReplyDelete
  5. Nimejaribu ku search hii story kwenye Google as "Demetrius Soupolos, 29 and his former beauty queen wife, Traute" na nimepata jibu moja tu kutoka kwenye Nigerian Article!!! Story kama hii ningetakiwa kupata matokeo zaidi ya kumi hivyo siiamini hii story hata kidogo.
    Ingekuwa ni kweli tungeiona pia kwenye vyombo vya habari kibao hivyo 'I don't buy this story'

    JK - TO

    ReplyDelete
  6. Jamani hii sasa inatisha. Unajua ni wengi tunatunza watoto ambao sio wetu. Unajua hakuna mwanaume asiyezaa labda tu mke wake awe mzembe wa kufikiri na kuchukua maamuzi sahihi kwa wakati muafaka. Nendeni mkapime DNA muone ni wangapi mnaojifanya mna watoto kumbe hakuna kitu. Ni mwanamke gani anayependa kuitwa mjaza choo tu kwenye ndoa yake wakati ana akili timamu.

    ReplyDelete
  7. Siri ya baba wa mtoto ipo kwa mama, na ndio maana kwenye familia iliyojengeka vyema, panazuka mtoto ambaye haendani kabisa na tabia ya familia hiyo.
    Hebu tujiulize swali, je tunaoana ili tupate watoto, au tunaoana ili tukamilishe mfumo wa mke na mume? Na je mapenzi ya kweli ni yepi?
    Nasema hivi kwasababu zipo ndoa nyingi zimevunjika sababu ya kukosa mtoto, na huenda tatizo likawa kwa baba!
    M3

    ReplyDelete
  8. DO HIYO N DO SIRI KUSIRINI SIKUMOJA YAJAFICHUKA.
    INABIDI KILA MWANA BLOG UJISHUKU KAMA HUFANANI NA UNAEAMBIWA NI BABA YAKO.

    ReplyDelete
  9. dangerous desire...

    ReplyDelete
  10. Siri ya baba wa mtoto anaijua mama ...mmmhh sio wote wengine hata hawajui nani baba wanachomekea tu......house boy kapiga na wewe ukija wapiga sasa ya nani hiyo atasema???!!
    Kama unabahati kuwa na Bibi muonyeshe mtoto akimuangalia tu anakuambia mjukuu wangu hapa nina wasiwasi....ujue sasa DNA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...